Mtabirie mwana JF yeyote umri wake na mishe yake,na muonekano wake

Mtabirie mwana JF yeyote umri wake na mishe yake,na muonekano wake

Mshana;Yuko above 44-48,alikuwa mwaajiriwa wa jeshi la Magereza na amaeacha akiwa na cheo cha juu kiasi,mzaliwa wa Upareni ,kwa sasa ni mjasiliamali wa kati na anafanya shughuli za ufugaji hasa wa kuku na nguruwe,yuko smart mzee wa kuchomekea na suti mara chachechache,ameoa na ana watoto 3 wa kwanza wa kike yuko kidato cha nne. Baada ya kazi upata moja mbili na uwahi nyumbani kujumuika na familia,hajawahi kukosa chakula cha usiku na familia yake anayoipenda sana akiwa maeneo ya home,ni baba wa mfano

Over
Hahahahahah,karibu bro nimekubamba!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mshana jr
tapatalk_1547135830246.jpeg


Sent from my TECNO K7 using Tapatalk
 
Naanza

Madame B -huyu ni kati ya 28-35 mchakarikaji hapendi kuajiriwa ajiriwa,huyu suruali anavaa sana

Mzigua90 - huyu ni kati ya 25 - 29 huyu ni muajiriwa wa kampuni binafsi,anajipenda sana some times anatoka na baibui,some times kiujana zaidi

Miss Natafuta - huyu ni 28- 34 huyu atakuwa anapewa shavu na mwanaume flani na kadata kweli kweli na kampa mtaji bibiye na kujiajiri,huyu dada kwa mawigi balaa

Mwifwa - hili jembe ni kati ya 30 -35 na ni mtu wa ofisi sana anapenda kuchomekea na kuwa smart na suruali za vitambaa,hapendi nywele kubwa

chaliifrancisco - huyu ni kati ya 22 -26 ni mshkaji yupo kitaa anapiga madili ,ni mtu wa jeans sana na raba alafu anapenda kufuga nywele.

FaizaFoxy mama letu - huyu ni kati ya 58 - 68 anakula pensheni japo hakustaafu ila ana matunda ya uzeeni,anavaa simple tu hana shangwe nyingi,anasuka mangongo tu hana habari ya mawigi.

Endeleeaaa

Sent using Jamii Forums mobile app

-Mkuu embu jaribu kuotea Mimi "nafananaje ukipata nitakupa" (kazawadi kidogoo).

-Nakupunguzia Mimi ni "ME".
 
FaizaFoxy mama letu - huyu ni kati ya 58 - 68 anakula pensheni japo hakustaafu ila ana matunda ya uzeeni,anavaa simple tu hana shangwe nyingi,anasuka mangongo tu hana habari ya mawigi.

Endeleeaaa
hahaha kwa FF nimecheka sana eti...anasuka mangongo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ksma unatoka kusini lindi mtwara bila shaks unayajua mangongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshana Jr - huyu ni kati ya 55-65 kibonge hivi,anapenda mashati sana huyu jamaa,hapendi kufunga nywele huyu,ni muajiriwa falni hivi ambae anasubiri kwa hamu pensheni yake,sio mpinzani saana wa bwana mkubwaa,akitaka kumzungumzia mkuu anakuwa makini sanaa

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

.
 
Back
Top Bottom