Hilo linanikinga kwa ajili ya uchafu, sitaki kuchafuka mimi[emoji3][emoji3][emoji3]Wengine kuona tu koti hilo tumeshafall...huwezi kuzuia mafuriko kwa mikono
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Wewe labda Nunda akutabirie[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Does skin colour matter ?Ngoja niwe napitia comments kuangalia watakaofaa kuwa wachumba[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].
Muwe mnaandika kama ni weusi au weupe[emoji12][emoji12][emoji12]mnirahisishie kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Una maksi ya kufaulu kabisa hapo[emoji3][emoji3][emoji3]Mwifwa mtu mjanja mjanja sio mlevi kabisa,, hajaoa kabisa ila ana goma lake,, mtu flani mguu nje mguu ndani,,, pia ni kipenzi cha mabinti ila tatizo hapendi kuchunwa ,,
Sent using Jamii Forums mobile app
Muuza mchicha na spinachi
Wee mbibi umenishinda tabia...Sawa sukari ya warembo[emoji16][emoji16]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ni sukari ya warembo..ubahili ndo usiseme
Muuza mchicha na spinachi
Huko tambuka reli
Siku nyingine huwa unasambaza maandazi ! [emoji18]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Agata Edward: kati ya 37_45 ni mama wa nyumbani.
Umeambiwa upunguze ubahili kaka,,Una maksi ya kufaulu kabisa hapo[emoji3][emoji3][emoji3]
Natafuta speed governor sasa hivi
Sio kila mwenye koti jeupe ni dokta we bintiWengine kuona tu koti hilo tumeshafall...huwezi kuzuia mafuriko kwa mikono
Sent using Jamii Forums mobile app
Au unqkula alafu ndo unqcheuwa mapeneNatafuta speed governor sasa hivi
Kwa umri tu upo hapa 30-35
Dogo swalehe ni muongo sana hata simuamini kabisa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hapana swalehe , knows his dady
And LUCKY !
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kila mwenye koti jeupe ni dokta we binti
Wengine wauza mabucha wanaokaa ofisini [emoji50]
Utafall na kwa majini mamdogo [emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Muuza mchicha na spinachi
Huko tambuka reli
Siku nyingine huwa unasambaza maandazi ! [emoji18]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila simzidi mh mkulu aisee.