Mtabirie mwana JF yeyote umri wake na mishe yake,na muonekano wake

Mtabirie mwana JF yeyote umri wake na mishe yake,na muonekano wake

Khantwe dada yangu nadhani wewe ni kati ya 27-32 kiumri.

Elimu=unaonekana umesoma soma kati ya degree ama master,ila degree ndo nadhani ina hakika kwa asilimia nyingi.

Alafu insonyesha degree umepata enzi za jakaya mana huna stress kabisa.

Unajifanya mtu wa majuu hufagilii bongo muvi,wewe muvi za nje tu,sijui kwa sababu unajua jua kizungu?

Unamtu unampenda sana kiasi kwamba akikufosi umpe 0712 inaweza kuwa kazi rahisi.

Hunaga msimamo kwenye mapenzi mda ungine,wewe unamkumbukaje boyfriend wako mliyekutana nae chuo huko wakati kils mtu na maisha yake?

Osoookeeeeey


Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] panya buku wewe kasoro mkia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom