Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Kwenye umri umepatia ndio maana nasema umejitahidiSasa hyo ila ya nini we binti wa miaka 29-30?
ukiacha kuchagua jua umechagua kuacha
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye umri umepatia ndio maana nasema umejitahidiSasa hyo ila ya nini we binti wa miaka 29-30?
ukiacha kuchagua jua umechagua kuacha
Wee nasubiri hadi mambo yahappen kweli, zisijekuwa kama ahadi za bennyWacha bwana!!
Heaven Sent sogea kipande hii upige vigelegele.
@korboto ukimdanganya mwanangu nakihamisha.Wee nasubiri hadi mambo yahappen kweli, zisijekuwa kama ahadi za benny
Kihamishe tu, nimechoka ahadi zao kama wanasiasa@korboto ukimdanganya mwanangu nakihamisha.
Ahahaha na umri ndo kila kitu.
@General Mangi kijana mmoja mtukutu japo hajionyeshi yaani huwezi kujua kama ni mtukutu hadi ukae nae kwa muda.
Japo simfahamu mangi, nahisi umepatia utabiri wako juu yake@General Mangi kijana mmoja mtukutu japo hajionyeshi yaani huwezi kujua kama ni mtukutu hadi ukae nae kwa muda.
Ni mhudhuriaji mzuri wa ibada ila mahubiri huwa anayaacha hapohapo anarudi mwenyewe
Ni mrefu kiasi, mwembamba japo si sana, rangi maji ya kunde ila angekuwa anajipenda sana angeng'aa zaidi sema ndio hivyo akiingia bafuni kuoga ndo kamaliza.
Anakunywa japo sio chapombe kama naniliu.
Ukiwa nae kwenye mahusiano inabidi uwe mvumilivu maana hajui kuficha ujeuri wake. Anawapenda sana ndugu zake, si muongeaji sana ila ni mtu wa utani wa hapa na pale.
Last but not least, ni mchakarikaji (of course this is given kwa sababu mtu mwenyewe ni Mangi)
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwendraa ila umenichekesha sanaAhahaha na umri ndo kila kitu.
Fanya kama unanichum basi
ukiacha kuchagua jua umechagua kuacha
Si useme tu unamfahamuJapo simfahamu mangi, nahisi umepatia utabiri wako juu yake
Nani unamuita dogo, nikikukamata huna bahatiHahaha acha hizo dogo, yeye mwenyewe atathibitisha kuwa simfahamu
Jf kuna members wana zaidi ya miaka 50?? Sijawahi kufikiria kabisa
Ukianza kukimbia utavunjika miguu ngoja nikusamehe tuNikimbize kama unaweza