kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 18,585
- 16,780
mkuu mbona unanicheka sasa!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] aiseee
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu mbona unanicheka sasa!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] aiseee
Sent using Jamii Forums mobile app
nilijua lazima unionee hadharani...
Hizo line tatu za mwanzo aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimeimajini mfupi mweusi mwembambamkuu mbona unanicheka sasa!!!
[emoji23][emoji23][emoji23] sio mimi lakininilijua lazima unionee hadharani...
[emoji58][emoji58][emoji58] kwani ni makosa yangu??Hizo line tatu za mwanzo aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimeimajini mfupi mweusi mwembamba
Sent using Jamii Forums mobile app
hayo ya niendelee kujipenda hayajatoka kwako?
Ng'ombe hazeeki mainiKwamba FaizaFoxy Hafai hata kulumangia na Kachumbari?
kibamia sio tatizo kwako??Hizo line tatu za mwanzo aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimeimajini mfupi mweusi mwembamba
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kwani mimi ndo nilikuumba[emoji3][emoji3]hayo ya niendelee kujipenda hayajatoka kwako?
Njoo unifariji basi hata kwa ka baby [emoji66] kamoja tu.
Wala mimi mwenyewe kama wewe tuNjoo unifariji basi hata kwa ka baby [emoji66] kamoja tu.
Ulivyo mrefu, mweupe,mnene utapunguza baadhi ya mambo kwa huyo baby wetu atakayezaliwa
We una kibamia kwani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tumetofautiana kidogo tu kwenye kazi... Mimi kazi yangu ni kuwatunza wafu na maiti zilizokufa.... Nashinda nazo, nakesha nazo... Tukiwa tumejifungia ndani mwenyewe... Sibagui sichagui[emoji144][emoji144][emoji144]Najitabiria mwenyewe.
Mimi nina kibamia, mweusi, mfupi, mwembamba
Umri ni kati ya 35-50.
Aliyenipenda jamani, kazi yangu ni kuli wa mizigo soko la mbuyuni.
Dada yeyote aliyenipenda aje PM tubadilishane namba sichagui dini wala kabila.
Hakuna mwanaume mwenye kibamia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kibamia sio tatizo kwako??
Unakuja kwa kasi ya mwanga,Ngoja niwe napitia comments kuangalia watakaofaa kuwa wachumba[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].
Muwe mnaandika kama ni weusi au weupe[emoji12][emoji12][emoji12]mnirahisishie kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwekundu jamani?[emoji3][emoji3][emoji3]Mi ni nwekundu ila umri umekwenda sana