Mtabirie mwana JF yeyote umri wake na mishe yake,na muonekano wake

Mtabirie mwana JF yeyote umri wake na mishe yake,na muonekano wake

Najitabiria mwenyewe.
Mimi nina kibamia, mweusi, mfupi, mwembamba
Umri ni kati ya 35-50.
Aliyenipenda jamani, kazi yangu ni kuli wa mizigo soko la mbuyuni.
Dada yeyote aliyenipenda aje PM tubadilishane namba sichagui dini wala kabila.
Tumetofautiana kidogo tu kwenye kazi... Mimi kazi yangu ni kuwatunza wafu na maiti zilizokufa.... Nashinda nazo, nakesha nazo... Tukiwa tumejifungia ndani mwenyewe... Sibagui sichagui[emoji144][emoji144][emoji144]

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom