Mtabirie mwana JF yeyote umri wake na mishe yake,na muonekano wake

Mtabirie mwana JF yeyote umri wake na mishe yake,na muonekano wake

Umesahau sifa moja ya FaizaFoxy kuwa anamiliki bahasha yenye nyaraka za talaka, kwani aliolewa na kuachika mara sita kipindi hajawa kikongwe.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Na test mitambo
 
.....Msomi hewa

Personal Detail

-Umri kati ya miaka 35-35
-Mfupi
-Mnene
-Anakitambi
-Anauwalaza

Hobbies

-Majungu
-Umbea
-Upashkuna

Education background

-La kwanza mpaka la Saba TANGA
-Form one mpaka form Four DAR
Hakubahatika kuendelea na shule

Currently living at Mbeya ndani ndani[emoji23][emoji23][emoji23]



Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Msisahau wanawake wengi humu jf hatuna kazi inayotuingizia kipato zaidi ya kuzalishwa na kuachwa hivo kuishi kwa kudanga humu ... Hii ni kwa mujibu wa Yulee anaetujua wanawake karibia wote wa jf



Cc Smart911

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeishiwa pozi. Kwani wanao wazalisha wapo humuhumu??
 
Back
Top Bottom