Baby Doll
JF-Expert Member
- Aug 9, 2017
- 4,716
- 21,530
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umesahau sifa moja ya FaizaFoxy kuwa anamiliki bahasha yenye nyaraka za talaka, kwani aliolewa na kuachika mara sita kipindi hajawa kikongwe.
Sisi wa bluu tuandike wapi???Ngoja niwe napitia comments kuangalia watakaofaa kuwa wachumba[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].
Muwe mnaandika kama ni weusi au weupe[emoji12][emoji12][emoji12]mnirahisishie kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]mliposhinda.Sisi wa bluu tuandike wapi???
Na test mitambo
[emoji38][emoji38]
[emoji31][emoji31][emoji31][emoji31][emoji31]
Nipo mkuu bagamoyo huku napiga kazi, mimi mbona najulikana.Nitatoa zawaidi kwa atakae toa maelezo ya kijana aise
Huyu dogo hata akina Maxence Melo wamemchunguza wamemshindwa sijui tumuite Anonymous au Ghost
Sijafanya chochote mama, niko shamba huku napiga kazi.Kafanyaje tena huyo famous wa kigoma?
Sijafanya chochote mama, niko shamba huku napiga kazi.
[emoji23][emoji23][emoji23]sawa mzee piga kaziSijafanya chochote mama, niko shamba huku napiga kazi.
Natafuta hela kwanza!dar unarudi lini tena
Nimeishiwa pozi. Kwani wanao wazalisha wapo humuhumu??Msisahau wanawake wengi humu jf hatuna kazi inayotuingizia kipato zaidi ya kuzalishwa na kuachwa hivo kuishi kwa kudanga humu ... Hii ni kwa mujibu wa Yulee anaetujua wanawake karibia wote wa jf
Cc Smart911
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu JF ina watu wa ajabu ajaabee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimeishiwa pozi. Kwani wanao wazalisha wapo humuhumu??