Mtafutaji nisiyechoka naomba mnishike mkono nipate ajira

Ingia linkedin
Tafuta a job unyotaka, nenda kwenye company description copy all the requirements wanazotaka, nenda chatGPT paste all of the requirements and mwishoni andika. "Create a CV out of this description' ... Then nenda kickresume site create a CV automatically

.... Then send that CV to all companies in LinkedIn that want a person with your description.

Nmekupa knowledge watu wanalipia kuipata

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
Nakuja tena kwa mara nyingine kuomba nishikwe mkono.

Natafuta ajira kwa muda mrefu nilishakuja hata hapa JF kuomba kushikwa mkono lakini sikufanikiwa.

Jitihada hazishindi kudra, nimepambana sana kwa muda mrefu lakini sijafanikiwa.

Skills zangu
Project management
Resource mobilization
Computer (Microsoft word, Excel PowerPoint and outlook)
Data collection and analysis
Graphic design (illustrator & canva)
Proposal writing and technical report writing
Community mobilization and action planning
SBCC
Swahili content creation
Teaching and learning
Training and coaching
TCPD ( Teachers Continuous Professional Development)
Swahili<>English language translation

Elimu
Master of Public Administration
Bachelor of Arts with Education
Risk Management (certificate)

Experience
10 years working experience, nimefanya kama School teacher then kama program coordinator kwenye NGOs.

Kwa sasa nina miaka zaidi ya mitatu sina ajira. Nimeangaika sana kila kona kuanzia mashuleni, NGOs, makampuni, viwanda.

Nimeishi kwa vibarua muda wote huo, ila nilisimama kwa miezi kadhaa nikarudi home maana niliumwa sana nilishtuka mgongo kazi za vibarua ni ngumu sana ndugu zangu.

Kama kuna mtu ataguswa naomba anisaidie.

MIMI NAFANYA KAZI YOYOTE, experience, elimu na skills zangu isiwe kikwazo.

Nicheki kwenye PM

Au nitumie email yangu stevhinoz@gmail.com
Mkuu njoo tutembee kwenye Lori akili itakukaa sawa.
 
Watanzania, ajira na pesa haziko mijini na majiji. pesa zipo mashambani. Kunau pungufu mkubwa wa ajira mashambani, tafuta kazi mashambani hutokosa. nenda kwa wakulima wakuajiri, siyo walaji.
 
Ingia linkedin
Tafuta a job unyotaka, nenda kwenye company description copy all the requirements wanazotaka, nenda chatGPT paste all of the requirements and mwishoni andika. "Create a CV out of this description' ... Then nenda kickresume site create a CV automatically

.... Then send that CV to all companies in LinkedIn that want a person with your description.

Nmekupa knowledge watu wanalipia kuipata

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Many thanks mkuu, stay blessed!
 
Watanzania, ajira na pesa haziko mijini na majiji. pesa zipo mashambani. Kunau pungufu mkubwa wa ajira mashambani, tafuta kazi mashambani hutokosa. nenda kwa wakulima wakuajiri, siyo walaji.
Nikipata connection nipo tayari kiongozi, sichagui njia ya kupata rizki. Kama unaweza niunganisha nitashukuru sana.
 
Unaweza ukawa unahangaika kumbe kuna jambo dogo tu unalisahau. Hebu rudi nyumbani tena kaongee na wazazi wako vizuri. Alafu sio lazima uajiriwe tafuta mtaji kwa kazi hizo hizo za vibarua ukiwekeza sehemu sahihi unatoboa humu jf zipo biashara nyingi ndogo ndogo zinazokuza mtaji haraka hebu jitafute ww kama wewe. Watu maofisini kuwalipa ni kipengele maana nyie ndio hamtakagi mshahara chini ya 1m kwahyo pambana ili uwaajiri vijana uone utamu wa kupatania mshahara. Kuna mtu anakuja kuomba kazi anakutajia mshahara unajiuliza huyu kalogwa au anaamini zipo kirahisi tu. Na ukiangalia pembeni yupo dogo janja anakimbiza life vizuri tu na kajiwekeza kwenye ujuzi wake. Imagine unaelimu yote hiyo ila unazidiwa uhakika na dereva bajaji au boda boda. Kujiongeza ni sehemu ya kile ulichoendea darasani.
 
Nakuja tena kwa mara nyingine kuomba nishikwe mkono.

Natafuta ajira kwa muda mrefu nilishakuja hata hapa JF kuomba kushikwa mkono lakini sikufanikiwa.

Jitihada hazishindi kudra, nimepambana sana kwa muda mrefu lakini sijafanikiwa.

Skills zangu
Project management
Resource mobilization
Computer (Microsoft word, Excel PowerPoint and outlook)
Data collection and analysis
Graphic design (illustrator & canva)
Proposal writing and technical report writing
Community mobilization and action planning
SBCC
Swahili content creation
Teaching and learning
Training and coaching
TCPD ( Teachers Continuous Professional Development)
Swahili<>English language translation

Elimu
Master of Public Administration
Bachelor of Arts with Education
Risk Management (certificate)

Experience

10 years working experience, nimefanya kama School teacher then kama program coordinator kwenye NGOs.

Kwa sasa nina miaka zaidi ya mitatu sina ajira. Nimeangaika sana kila kona kuanzia mashuleni, NGOs, makampuni, viwanda.

Nimeishi kwa vibarua muda wote huo, ila nilisimama kwa miezi kadhaa nikarudi home maana niliumwa sana nilishtuka mgongo kazi za vibarua ni ngumu sana ndugu zangu.

Kama kuna mtu ataguswa naomba anisaidie.

MIMI NAFANYA KAZI YOYOTE, experience, elimu na skills zangu isiwe kikwazo.

Nicheki kwenye PM

Au nitumie email yangu stevhinoz@gmail.com
Mnatukatisha wengn kuendelea na elimu ya juu aisee, yn kwa profile yko hiyo mkuu hauna ajira mpk Leo...dah? Mungu akuone ndugu yng akufungulie milango
 
Back
Top Bottom