Mtafutaji nisiyechoka naomba mnishike mkono nipate ajira

Ni changamoto sana kwa kweli.
Una driving license and/or cheti cha JKT?
Yes... Mitazamo ya watu ni mingi lakini finally , you can never dance this song unless you feel the beat. Ngumu sana mtu kuielewa hali ya huyu mdau pasina kuwa uzoefu wa hali hio.

Nina rafiki yangu pia Ana Bachelor na yeye bado hajaingia ktk mfumo wa ajira, ana driving licence na cheti cha JKT pia. Mkuu naomba umuangalie pia kama itakupendeza.
 
Alafu wewe unajua kazi za vibarua ni kama ku beba tofari, saidia fundi, na makazi magumu magumu huko viwandani

Hivi kwanini inakua ngumu kuelewa vitu kiasi hiki?

Mtu mpaka kasema alipata shida ya mgongo na kwenye uzi wake kaandika kabisa, "kazi za viwandani ni ngumu ndugu zangu", unadhani alikua anabeba mikate ama?
 

Well said mkuu. Niko kwenye the very same venture ya kutafua kazi. Kuhusu rafiki yako mwenye hizo credentials, mtaarifu kuwa kuna nafasi za kazi Kiwango security na mshahara ni 450k per month kwa supervisor na 300k kwa guard ambapo zote ana qualify kufanya.
 
Fursa nzuri kabisa kwa kuanzia. Shukrani sana mkuu. Ntamshirikisha hili.
 
Bro umeongea point.


Kwenye jamii zetu hz haswa mtu akitoboa kimaisha Ht km sio kiviile wengi wao huwa wanasahau maumivu, tabu na mafadhaiko waliyopitia kipindi walipokua hawana kitu na ht km hawakupitia changamoto zozote maybe walipomaliza masomo tu kapata nafasi ya kuajiriwa au maybe alibahatika kuwa katka família yenye kumfanikishia kupata ajira moja kwa moja bila tabu yyte

japokuwa hat km ni hvyo it still doesnt give him or her a good fuckin reason ya kukejeli wengin walio bdo kwenye msoto wa kimaisha ...

Yani wanabadilika na kuwa walimbukeni na kua na kauli za kufedhesha sn
 

Unfortunately ndo dunia tuliyopo mkuu, mwenye nacho anamuona asienacho ni mvivu.
 
Mwenye connection ya kazi za weighbridge, TANROADS Mkoa wowote. Naomba unicheki Pm tafadhari, Ahsante ya connection ipo.
 
Huna mapungufu lakini usitake sana huruma za watu ndio maana nikakuambia tafuta mtaji hata kwa kazi za kibarua uwekeze kwenye kitu unachoweza fanya utatoboa sasa ww unaona kama nimekuambia vibaya wakati uhalisia ndio huo.
Acha dharau kama umepata usione wengine wazembe.
 
Aisee unaweza nisaidia anuan yao au hata ukapiga picha hlo tangazo? Nataka ni apply asee!!

Hakuna tangazo mkuu, ingia website yao ama nenda physically head office yao Mbezi beach.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…