Ewaaa... usimwambie mtu sasa. Afu punguza kujibebisha na vimaskin vya JF... Utamliza wivu naweza kuambulia li Probox badala ya mabasi matatu.Mzee wa mipango[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kama wewe utapewa hayo magari matatu kwa kumpa namba tuu, Mimi nikimwita bebi si nitahongwa dunia. Kwa heri umaskini.
Sasa namba yangu ngoja nikutumie pm.
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Wivu sina ila roho inauma...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani nipotezee safari tena. Kwanza ngoja nikupigie simu tumalizie hiyo kazi ya watu pamoja. Pesa kutafuna muhimu[emoji23][emoji23].
Wewe ni hendisam toka kitambo yaani. Tena Bonge la HB.
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Hiyo avatar yako lazima shetani akae mbali na wewe
Heeee makubwa hayaUtasubiri sana. Hivi sasa kako bize kanangonoka na mme wa shosti yake. Afu huwa hakatumii kondom
amekaa mbali na mm kwakweli...nakula.mema ya nchiHiyo avatar yako lazima shetani akae mbali na wewe
Naam
Kaeni mle pensheni zenu taratibu mtuachie hii mitandao ya kijamiiWewe ni rafiki yangu tangia enzi za uhuru
Na hapo sijatoa siri zote sasaHiyo avatar yako lazima shetani akae mbali na wewe
Asante kwa ushauri kuntu kabisa....Kaeni mle pensheni zenu taratibu mtuachie hii mitandao ya kijamii
Mungu amesikia kilio chako mpendwa nipo hapa
Basi itakuwa tunaishi mtaa mmoja300 wapi? Huku kwetu ni buku
Huwezi kula ndumu weyeHahaha hahaha hahaha hahaha hahaha
Nazingua na nini jamanii, stimu la buku huwezi lifananisha na la jiti mzee mama!
Naomba niletee ndoo moja nikupe laki 3Huku niliko ni 100
Teh..inawezekana mkuu, hebu nielekezeBasi itakuwa tunaishi mtaa mmoja
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwambie afanye ndoo mbili nitaongezea mtajiNaomba niletee ndoo moja nikupe laki 3
Na posho tutampa [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwambie afanye ndoo mbili nitaongezea mtaji
[emoji23] Simwambii mtu, kwanza wasije wakaniibia. Naacha kujibebisha . Yaani niache mgodi kwa ajili ya "tumasikini twa jeif?".Ewaaa... usimwambie mtu sasa. Afu punguza kujibebisha na vimaskin vya JF... Utamliza wivu naweza kuambulia li Probox badala ya mabasi matatu.
Hahahhaah meno bado yapo?Wivu sina ila roho inauma...
ArushaTeh..inawezekana mkuu, hebu nielekeze
Kwa kweliNa posho tutampa [emoji3]
He heeee chaliiii, kweli tupo mtaa mmojaArusha