Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Ewaaa... usimwambie mtu sasa. Afu punguza kujibebisha na vimaskin vya JF... Utamliza wivu naweza kuambulia li Probox badala ya mabasi matatu.Mzee wa mipango[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kama wewe utapewa hayo magari matatu kwa kumpa namba tuu, Mimi nikimwita bebi si nitahongwa dunia. Kwa heri umaskini.
Sasa namba yangu ngoja nikutumie pm.
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.