Mtaje JF member ambaye ni rafiki yako huko mtaani

Mtaje JF member ambaye ni rafiki yako huko mtaani

Mzee wa mipango[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kama wewe utapewa hayo magari matatu kwa kumpa namba tuu, Mimi nikimwita bebi si nitahongwa dunia. Kwa heri umaskini.
Sasa namba yangu ngoja nikutumie pm.

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Ewaaa... usimwambie mtu sasa. Afu punguza kujibebisha na vimaskin vya JF... Utamliza wivu naweza kuambulia li Probox badala ya mabasi matatu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani nipotezee safari tena. Kwanza ngoja nikupigie simu tumalizie hiyo kazi ya watu pamoja. Pesa kutafuna muhimu[emoji23][emoji23].
Wewe ni hendisam toka kitambo yaani. Tena Bonge la HB.

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Wivu sina ila roho inauma...
 
Ewaaa... usimwambie mtu sasa. Afu punguza kujibebisha na vimaskin vya JF... Utamliza wivu naweza kuambulia li Probox badala ya mabasi matatu.
[emoji23] Simwambii mtu, kwanza wasije wakaniibia. Naacha kujibebisha . Yaani niache mgodi kwa ajili ya "tumasikini twa jeif?".

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
 
Back
Top Bottom