Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 11,129
- 7,321
Nani humu JF ambaye una wish walau ufaham details zake kiundani kuhusu kazi yake,umri wake,wilaya na mtaa anaoishi,dini yake,ana familia ya Aina gani, partner wake,Mali zake,gari anayotembelea,elimu yake,picha yake and so far..lakini unashindwa kumuuliza direct kwa sababu sio vizuri
Naomba nikufahamishe kuwa tabia ya kutaka kujua misha ya watu mara nyingi huwa ni udaku, na hivyo mimi huwa sishauri sana mtu awe na tabia za namna hiyo kwa sababu mimi mwenyewe huwa sizipendi sana. Hata hivyo naomba nikiri kuwa mimi binafsi ningependelea tu kufahamiana na @Lara1 . Halafu siku hizi amepotea humu jukwaani sijui kwa nini. Possibly hayo ma insta na ma-facebook yenu ndiyo yamemhamisha, amejikita huko zaidi!