Mtaje member mmoja unayetamani kujua maisha yake kiundani

Nani humu JF ambaye una wish walau ufaham details zake kiundani kuhusu kazi yake,umri wake,wilaya na mtaa anaoishi,dini yake,ana familia ya Aina gani, partner wake,Mali zake,gari anayotembelea,elimu yake,picha yake and so far..lakini unashindwa kumuuliza direct kwa sababu sio vizuri

Naomba nikufahamishe kuwa tabia ya kutaka kujua misha ya watu mara nyingi huwa ni udaku, na hivyo mimi huwa sishauri sana mtu awe na tabia za namna hiyo kwa sababu mimi mwenyewe huwa sizipendi sana. Hata hivyo naomba nikiri kuwa mimi binafsi ningependelea tu kufahamiana na @Lara1 . Halafu siku hizi amepotea humu jukwaani sijui kwa nini. Possibly hayo ma insta na ma-facebook yenu ndiyo yamemhamisha, amejikita huko zaidi!
 
Nani humu JF ambaye una wish walau ufaham details zake kiundani kuhusu kazi yake,umri wake,wilaya na mtaa anaoishi,dini yake,ana familia ya Aina gani, partner wake,Mali zake,gari anayotembelea,elimu yake,picha yake and so far..lakini unashindwa kumuuliza direct kwa sababu sio vizuri
Haha ujanja mwingine huu. Haya NdegeJohn go on

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani humu JF ambaye una wish walau ufaham details zake kiundani kuhusu kazi yake,umri wake,wilaya na mtaa anaoishi,dini yake,ana familia ya Aina gani, partner wake,Mali zake,gari anayotembelea,elimu yake,picha yake and so far..lakini unashindwa kumuuliza direct kwa sababu sio vizuri
Huo ni umbea wa kiwango cha lami.
Kuna mtu jioni hajui atakula nn Leo hii ajue undani wa MTU asiemjua ili iweje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli JF imeingiliwa. Mambo binafsi ya MTU yanakusaidia nini? Mind your own businesses
Nani humu JF ambaye una wish walau ufaham details zake kiundani kuhusu kazi yake,umri wake,wilaya na mtaa anaoishi,dini yake,ana familia ya Aina gani, partner wake,Mali zake,gari anayotembelea,elimu yake,picha yake and so far..lakini unashindwa kumuuliza direct kwa sababu sio vizuri
 
75% ya mada za jf siku hizi ni za kibabaishaji tu. Zamani tunaletewa topic za kujifunza, leo nyingi ndo kama hizi za watu kutaka kujua maisha ya wengine!

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona eh.. Anayetaka kukujua humu jf jua;
1. Katumwa kuwajua watu flani flani ili kitu flani kifanyike
2. Kujiridhisha how people intermingle despite the privacy of the members wa jf
3. Anawinda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji16][emoji16][emoji16] naomba bundle nimalizie Queen seondeok
ushauri wangu uliupuuzia kama snow zinazodondoka seoul na kufagiwa asubuhi yake.
ngoja nimpigie simu professor lipumba akufanyie mpango japo 5000
 
[emoji23][emoji23][emoji23] profesa kachoka yule hana hiyo jeuri. Halafu mbona hukuniambia mchumba wangu yupo kule ukawa unanionyesha wachumba wengine kidogo nifumaniwe
 
mchumba yupi hebu nikumbushe japo kwa code,
halafu unataka kuchafua uzi wa watu, na tunavyochukiwa wapenzi wa gangnam beauty humu JF.
 
Back
Top Bottom