Mtajenga barabara, flyovers, madaraja na SGR lakini kama taifa halitoi haki kwa raia ni kupoteza muda

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,480
Reaction score
7,443
Ni kweli watanzania wanataka maendeleo, hata kinachofanyika sasa kuendeleza miundo mbinu, sekta za afya na elimu ni muhimu.

Ni kweli kabisa haya maendeleo ya kujenga Ma SGR, flyovers na madaraja yatawanufaisha wananchi.

Lakini mnadhani wananchi watafurahia haya maendeleo wakati mioyo yao haina raha? Ndugu zao wanauliwa na watumishi wa vyombo vya dola na hakuna hatua zinachukuliwa.

Wakuu wa mikoa wanatetea maovu ya watumishi wa vyombo vya dola wanaoua raia wasio na hatia kwa kisingizio cha kupambana na uhalifu.

Mnadhani hayo maflyovers na ma-SGR mliyajenga kwa ajili yenu? Haya yanatakiwa yatumiwe na wananchi ambao wanafuraha mioyoni mwao. Sasa kila mtanzania hana furaha mnadhani yanabaraka hayo mamiradi?
 
Ni kweli kabisa haya maendeleo ya kujenga Masgr,flyovers na madaraja yatawanufaisha wananchi.

Lakini mnadhani wananchi watafurahia haya maendeleo wakati mioyo yao haina raha? Ndugu zao wanauliwa na watumishi wa vyombo vya dola na hakuna hatua zinachukuliwa.

Wakuu wa mikoa wanatetea maovu ya watumishi wa vyombo vya dola wanaoua raia wasio na hatia kwa kisingizio cha kupambana na uhalifu.

Mnadhani hayo maflyovers na maSgr mliyajenga kwa ajili yenu? Haya yanatakiwa yatumiwe na wananchi ambao wanafuraha mioyoni mwao. Sasa kila mtanzania hana furaha mnadhani yanabaraka hayoa mamiradi?
Mpambano wa Demokrasia na Maendeleo uliisha Sept 2020 na Watanzania walichagua Maendeleo. Wanainchi walipima athari za kukosekana Demokrasia na Kukosekana Maendeleo wakabaini kukosekana maendeleo athari zake ni mbaya zaidi kuliko madai ya kufikirika ya kukosekana Demokrasia. Mbaya zaidi Wananchi waligundua Demokrasia inayodaiwa ni ya Uhuru wa waharifu kuwa na haki ya kuendelea na uharifu wao. Kuzusha uongo, Kutukana wasio hatia mitandaoni, na kuandika uzushi wenye kuleta taharuki kwenye jamii.
 
Hapa JF tu wapewa haki ya kusema utakavyo?! What a stupid thread...
 
Ni kweli watanzania wanataka maendeleo, hata kinachofanyika sasa kuendeleza miundo mbinu, sekta za afya na elimu ni muhimu.

Ni kweli kabisa haya maendeleo ya kujenga Ma SGR, flyovers na madaraja yatawanufaisha wananchi.

Lakini mnadhani wananchi watafurahia haya maendeleo wakati mioyo yao haina raha? Ndugu zao wanauliwa na watumishi wa vyombo vya dola na hakuna hatua zinachukuliwa.

Wakuu wa mikoa wanatetea maovu ya watumishi wa vyombo vya dola wanaoua raia wasio na hatia kwa kisingizio cha kupambana na uhalifu.

Mnadhani hayo maflyovers na ma-SGR mliyajenga kwa ajili yenu? Haya yanatakiwa yatumiwe na wananchi ambao wanafuraha mioyoni mwao. Sasa kila mtanzania hana furaha mnadhani yanabaraka hayo mamiradi?
Usitulishe maneno, wenye futaha tupo zaidi ya asilimia 98. Kama kuna ndugu yako ni mhalifu mwambie aache mara moja maana dola itamfikia tu
 
Nikafikiri ameainisha haki alinyimwa kumbe porojo tu!

Utakuta anataka zile haki zao za mambo ya faragha
 
Back
Top Bottom