Mtajenga barabara, flyovers, madaraja na SGR lakini kama taifa halitoi haki kwa raia ni kupoteza muda

Mtajenga barabara, flyovers, madaraja na SGR lakini kama taifa halitoi haki kwa raia ni kupoteza muda

Aliyopo kazi yake kaifanya na anaifanya.

Ajaye hakikisheni kazi/Jambo mlitakalo/muitakayo anaitenda.

Mkilala round hii ni MITANO TENA.
 
Peleka utopolo wako hukooooo. Haki gani uliyonyimwa ewe kibaraka wa Freeman Mbowe?
Jamani mwenye namba ya mbowe atusaidie kumwambia kuwa jane lowasa anamtamani sana hadi hawezi kuwaza jambo jingine zaidi ya jina Freeman Mbowe
 
Ni kweli watanzania wanataka maendeleo, hata kinachofanyika sasa kuendeleza miundo mbinu, sekta za afya na elimu ni muhimu.

Ni kweli kabisa haya maendeleo ya kujenga Ma SGR, flyovers na madaraja yatawanufaisha wananchi.

Lakini mnadhani wananchi watafurahia haya maendeleo wakati mioyo yao haina raha? Ndugu zao wanauliwa na watumishi wa vyombo vya dola na hakuna hatua zinachukuliwa.

Wakuu wa mikoa wanatetea maovu ya watumishi wa vyombo vya dola wanaoua raia wasio na hatia kwa kisingizio cha kupambana na uhalifu.

Mnadhani hayo maflyovers na ma-SGR mliyajenga kwa ajili yenu? Haya yanatakiwa yatumiwe na wananchi ambao wanafuraha mioyoni mwao. Sasa kila mtanzania hana furaha mnadhani yanabaraka hayo mamiradi?
Kwenda zako...huku duniani huwezi kumfurahisha kila mtu hata kama ni wewe ungekua kiongozi ungelaumiwa tu kama wewe unavyo laumu hapa,mi sijawahi kusikia mauaji ya kimbali hapa nchini
 
Mpambano wa Demokrasia na Maendeleo uliisha Sept 2020 na Watanzania walichagua Maendeleo. Wanainchi walipima athari za kukosekana Demokrasia na Kukosekana Maendeleo wakabaini kukosekana maendeleo athari zake ni mbaya zaidi kuliko madai ya kufikirika ya kukosekana Demokrasia. Mbaya zaidi Wananchi waligundua Demokrasia inayodaiwa ni ya Uhuru wa waharifu kuwa na haki ya kuendelea na uharifu wao. Kuzusha uongo, Kutukana wasio hatia mitandaoni, na kuandika uzushi wenye kuleta taharuki kwenye jamii.
Mnaanza kukiri kuwa demokrasia haina nafasi katika utawala huu?Mnadhani maendeleo ni kinyume cha demokrasia?
Nchi hii inaelekea kwa kasi kuelekea kwenye shimo la Udikteta halisi na siyo uchwara.Kinyume cha demokrasia ni udikteta kama ulikuwa haufahamu.
 
Mmoja wa wapambanaji wakubwa wa Udikiteta ni Zitto kabwe. Si yeye wala chama chake kinazunumzia udikiteta. Ndio ujue kila tuhuma dhidi ya Maghufuli ilianzishwa kwa hofu ya kupotezwa ktk ramani za kisiasa kwa kazi nzuri anazofanya. Sasa si udikiteta haikusaidia kumtoa madarakani. Sasa ni KORONA ugonjwa usio dawa. Kupona ni tahadhari, kutumia ubunifu wa dawa zetumasili na kumuomba Mungu.
 
Wewe unapenda Udikteta?Unafahamu madhara ya kuwa na utawala wa kidikteta?Ni nchi gani duniani iliyoangamia kwa kuzingatia mfumo wa kidemokrasia?
Mnayemtetea atawasaga saga pindi akigundua hamumsaidii ama mkimaliza ngwe ya kumsifia na kumhalalishia kudumu madarakani-Ndicho kilichosalia.
 
Haki ni pamoja na huduma za jamii. Miundombinu ni sehemu ya huduma hizo. Kama raia anaumwa atafikaje hospitali bila miundombinu bora. Atapataje kupona kama hakuna hoslitali bora na dawa?

Fikiri upya ndipo useme.
 
Wewe unapenda Udikteta?Unafahamu madhara ya kuwa na utawala wa kidikteta?Ni nchi gani duniani iliyoangamia kwa kuzingatia mfumo wa kidemokrasia?
Mnayemtetea atawasaga saga pindi akigundua hamumsaidii ama mkimaliza ngwe ya kumsifia na kumhalalishia kudumu madarakani-Ndicho kilichosalia.
Tanzania kuna udikteta kweli? Unamtukana kiongozi na hakufanyi chochote halafu unasema kuna udikteta.
 
Tanzania kuna udikteta kweli? Unamtukana kiongozi na hakufanyi chochote halafu unasema kuna udikteta.
Kiongozi gani katukanwa na mtukanaji ni nani bila kusahau tusi lenyewe ni lipi?Ukiyajibu hayo ndipo turejee kujibu swala lako.
Nyeti za kuku....
 
Wewe unapenda Udikteta?Unafahamu madhara ya kuwa na utawala wa kidikteta?Ni nchi gani duniani iliyoangamia kwa kuzingatia mfumo wa kidemokrasia?
Mnayemtetea atawasaga saga pindi akigundua hamumsaidii ama mkimaliza ngwe ya kumsifia na kumhalalishia kudumu madarakani-Ndicho kilichosalia.
Unaufahamu Udikteta? Toa mfano mmoja wa Dikteta wa kiafrika au dunia na madhara yake. Ndio maana kwa aibu yakujua msemacho si kweli mnamuita Dikteta uchwara. Dikteta usingepumua.
 
Back
Top Bottom