malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,913
- 4,695
Wakuu mim nafanya biashara ya dukal la vyakula Sasa biashara imeyumba sana kutokana na ushindani kuwa mkubwa faida imepungua sana
Wadau nifanye biashara ipi fursa inayoonekana hardware nlikua nafanya nayo tumekua wengi mno faida
Kichwa kinawaka sjui nifanyaje
boresha huduma zako ikiwemo bei ya bidhaa na uwe na good customer care plus uuzaji wa bidhaa bora, mteja mmoja humleta mwingine ukiwa na huduma nzuri mtu anaweza kuacha maduka 100 akalifuata lako lililopo mafichoni kikubwa panapitika,,,, usisahau ulogi au kumuomba Mungu sana mauza uza yapo brohWakuu mim nafanya biashara ya dukal la vyakula Sasa biashara imeyumba sana kutokana na ushindani kuwa mkubwa faida imepungua sana
Wadau nifanye biashara ipi fursa inayoonekana hardware nlikua nafanya nayo tumekua wengi mno faida
Kichwa kinawaka sjui nifanyaje
Huku tulipo wateja wanaangalia Bei chiniboresha huduma zako ikiwemo bei ya bidhaa na uwe na good customer care plus uuzaji wa bidhaa bora, mteja mmoja humleta mwingine ukiwa na huduma nzuri mtu anaweza kuacha maduka 100 akalifuata lako lililopo mafichoni kikubwa panapitika,,,, usisahau ulogi au kumuomba Mungu sana mauza uza yapo broh
Mpaka nguvu za kiume,Wewe jamaa kila siku una matatizo kuanzia ya kifamilia mpaka biashara
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wewe jamaa kila siku una matatizo kuanzia ya kifamilia mpaka biashara
Fanya biashara hiyo hiyo kwa bei ya jumlaWakuu mim nafanya biashara ya dukal la vyakula Sasa biashara imeyumba sana kutokana na ushindani kuwa mkubwa faida imepungua sana
Wadau nifanye biashara ipi fursa inayoonekana hardware nlikua nafanya nayo tumekua wengi mno faida
Kichwa kinawaka sjui nifanyaje
Mkuu ukubwa dawaWewe jamaa kila siku una matatizo kuanzia ya kifamilia mpaka biashara
Boss ulishawahi kusoma kitabu cha the richest man in Babylon ??Wakuu mim nafanya biashara ya dukal la vyakula Sasa biashara imeyumba sana kutokana na ushindani kuwa mkubwa faida imepungua sana
Wadau nifanye biashara ipi fursa inayoonekana hardware nlikua nafanya nayo tumekua wengi mno faida
Kichwa kinawaka sjui nifanyaje
Nikweli kabisa Kila mtu amekua mfanya biasharaKwa miaka karibu mitatu au minne boashara zimekuwa na changamoto sana. Soko limekuwa saturated kila mtu amekuwa mfanyabiashara.