Mtaji na Faida ya Biashara ya Grocery

Hiyo ni biashara ya shetani. Achana nayo ama kamwe hautabarikiwa na ufalme wa milele hautauona. Utakua pamoja na shetani katika moto wa Jahannam. U will burn in Hell!!!! U will burn in hell!!!!!!
Hivi ni biashara gani ni takatifu?
 
Hiyo ni biashara ya shetani. Achana nayo ama kamwe hautabarikiwa na ufalme wa milele hautauona. Utakua pamoja na shetani katika moto wa Jahannam. U will burn in Hell!!!! U will burn in hell!!!!!!
Mbna hunijibu?
 
Mbna hunijibu?
Unaweza kuuza mkahawa wa kawaida bila kilevi. Unaweza kuuza chips kuku nyama choma. Unaweza kufungua duka ukauza vitu vya aina mbali mbali. Unaweza kuuza mihogo ndizi matikiti maboga . Kwa ufupi fursa zipo nyingi za halali ambazo hazimchukizi Mungu wala hazileti ugomvi katika familia. Ulevi si tu unapingwa na dini bali pia hata wataalamu wa Afya.
 
Sio lazima kunywa pombe, hata soda. Hivi mtu anaenda baa na kubywa bia mbili utamwita mlevi?
 
Ukipatia location ,mtaji na ubunifu trust me mgahawa unalipa
Tatizo la bar bia zinafaida ndogo ila ukiwa na bar utakuwa maarufu
 
Kwa mawazo yangu mimi fungua bar thn kama mtaji unaruhusu basi hapo hapo jikoni unaongeza na vyakula vya mgahawani namaanisha kama asubuh kunakuwa na mtoli supu nk thn mchana biriani pilau chips nk naamini itakuingizia hela

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau mko freshi?!
Wazee natafta mtu mwenye Bar management skills aje kunishika mkono.

Setup ya bar iko freshi, nachohitaji ni ubia na mtu mwenye uzoefu ili tuweze ku boost sales. Mapato yakiongezeka maradufu nitakachofanya tutakuwa tunagawana faida baada ya kutoa expenses at 50% yani pasu kwa pasu. Cha muhimu ni uwezo wa kufanikisha mauzo yaweze kuongezeka mara dufu. Maana sales figure imeshuka sana kiasi cha kwamba nahisi nitaanza ku struggle kukava ma Gap.

Niko Moshi mjini. Kwa ambaye atakuwa interested basi anicheki inbox.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…