Mtaji na Faida ya Biashara ya Grocery

Mtaji na Faida ya Biashara ya Grocery

Nimewahi kuifanya kwa muda kidogo ila cha muhimu zingatia haya:huduma kwa wateja iwe nzuri kwa wafanyakazi wako usimdharau mteja hata kama amekuja kununua bia moja,hakikisha wahudumu wawe na muonekano mzuri na wachangamfu muda wote narudia tena wawe wazuri kimuonekano,wateja wana tabia ya kujaribu eneo moja na kuondoka jaribu kuwa mbunifu wa biashara settings za bar yako kuanzia muonekano na nk usiache bar iwe vilevile kwa mwaka mzima,badilisha wahudumu kila wakati,nenda ktk bar za jirani kuona utofauti uliopo kwao na kwako halafu badilisha,usafi zingatia hasa maeneo ya vyoo,nyama zoote zikose ila[emoji241][emoji200] tafadhali ziwepo [emoji23][emoji23] kama ni muislamu sijui.., wahudumu wa vyakula wawe faster,punguza mazoea na wateja hakikisha hawakuzoei kiivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah, mdudu ndio priority hapa kwangu ila biz imeenda down sana. Madem wengi kuwaweka nayo ni cost kuwatafuta na kuwafanyia training kila wakati. Ndio maana nataka mtu ambaye ni mzoefu ikibidi tugawane faida tu.
 
Kwa usawa huu kuna biashara nyingine ufikirie Mara mbili kuianzisha! Watu wanakula kwa kuungaunga wataanzaje kunywa pombe kwa mfano!
 
Bar kitu cha kwanza iwe ya kujificha
Isiwe too open..
Ikiwezekana kuwe na entry zaidi ya moja..

Halafu wahudumu warembo wanaobadilika kila mara ...

Jikoni wakae wanaume wanaojua supu.mchemsho.na kadhalika Kwa usafi na haraka

😅😅😅wezi hamjifichi...dah... U remind of something!
 
Shida ya hii biashara ni barmaids, kiukweli wengi wao ni pasua vichwa
Hao ndio chambo ya walevi ila supply yake imekuwa ngumu. Nilifukuza wawili nikateseka for months kupata replacement.
 
Bar kitu cha kwanza iwe ya kujificha
Isiwe too open..
Ikiwezekana kuwe na entry zaidi ya moja..

Halafu wahudumu warembo wanaobadilika kila mara ...

Jikoni wakae wanaume wanaojua supu.mchemsho.na kadhalika Kwa usafi na haraka
Dah kiukweli umeongea mambo ya msingi sana.
 
Hao ndio chambo ya walevi ila supply yake imekuwa ngumu. Nilifukuza wawili nikateseka for months kupata replacement.
Hao ndo wanafanya biashara ya bar iishi au ife, ni taabu tupu wakiondoka unajikuta wewe owner ndo barmaid na kwa mazoea ya bar nyingi wanatafuta cheap labour hivyo wahudumu hawana uelewa wowote na kazi yao,, unamleta leo baada ya wiki anahamia bar jirani......uuuuuuhhhh siwazi kurudi kwenye hii biashara
 
Wewe ulikuwa mmiliki au bar maid?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao ndo wanafanya biashara ya bar iishi au ife, ni taabu tupu wakiondoka unajikuta wewe owner ndo barmaid na kwa mazoea ya bar nyingi wanatafuta cheap labour hivyo wahudumu hawana uelewa wowote na kazi yao,, unamleta leo baada ya wiki anahamia bar jirani......uuuuuuhhhh siwazi kurudi kwenye hii biashara
Aisee hii biashara ni pasua kichwa haswaa, mie pia imekuwa ikinisumbua sana kiasi kwamba nataka nishee headaches na mtu mwengine walau, nishakuwa mpishi na Barmaid pia🤣🤣🤣

Sio punde ntageukia kwenye nafaka huko.
 
Hao ndo wanafanya biashara ya bar iishi au ife, ni taabu tupu wakiondoka unajikuta wewe owner ndo barmaid na kwa mazoea ya bar nyingi wanatafuta cheap labour hivyo wahudumu hawana uelewa wowote na kazi yao,, unamleta leo baada ya wiki anahamia bar jirani......uuuuuuhhhh siwazi kurudi kwenye hii biashara
Halafu walevi wanakuhama🤣🤣🤣 baada ya muda wakishapiga piga wahudumu. Janga la kuibiwa wahudumu pia limekuwa changamoto kubwa...ukileta wapya wenzio wanakuja kukuibia wanawahamishia kwao.
 
Back
Top Bottom