venance7
JF-Expert Member
- May 15, 2019
- 558
- 1,645
Nimewahi kuifanya kwa muda kidogo ila cha muhimu zingatia haya:huduma kwa wateja iwe nzuri kwa wafanyakazi wako usimdharau mteja hata kama amekuja kununua bia moja,hakikisha wahudumu wawe na muonekano mzuri na wachangamfu muda wote narudia tena wawe wazuri kimuonekano,wateja wana tabia ya kujaribu eneo moja na kuondoka jaribu kuwa mbunifu wa biashara settings za bar yako kuanzia muonekano na nk usiache bar iwe vilevile kwa mwaka mzima,badilisha wahudumu kila wakati,nenda ktk bar za jirani kuona utofauti uliopo kwao na kwako halafu badilisha,usafi zingatia hasa maeneo ya vyoo,nyama zoote zikose ila[emoji241][emoji200] tafadhali ziwepo [emoji23][emoji23] kama ni muislamu sijui.., wahudumu wa vyakula wawe faster,punguza mazoea na wateja hakikisha hawakuzoei kiivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app