Mtaji na Faida ya Biashara ya Grocery

Halafu walevi wanakuhama🀣🀣🀣 baada ya muda wakishapiga piga wahudumu. Janga la kuibiwa wahudumu pia limekuwa changamoto kubwa...ukileta wapya wenzio wanakuja kukuibia wanawahamishia kwao.
Hahahaha unanikumbusha mbali sana hizo drama aisee

Unamleta kwa mbwembwe kibao wakati mwingine unazama mfukoni ili tu kumfanya asikuhame na bado anakuhama ndani ya siku chache tu
 
Ikishindikana nauza kila kitu, nafanya complete shutdown.
Mi mwenyewe nakushauri ufanye mambo zingine tu ingekuwa mdudu anasimama peke yake bila pombe aaah mbona fresh tu maana jikoni mara nyingi anakaa wa kiume(wanaume hamsumbui sana kama sie ke),,, na jiko lina faida nzuri kuliko pombe kwenye ambayo faida yake ni kidogo au hamna na bado changamoto ni nyingi
 
Mdudu alikuwa mzuka mwanzo ila mpishi akazingua pakawa pana shida ya mpishi natafta mademu hawamalizi mwezi wanakacha mara at kaz ngumu na bla blah.
 
Shida ya hii biashara ni barmaids, kiukweli wengi wao ni pasua vichwa
Walah kuna sehemu ukienda unakuta muhudumu mchangamfu halafu ana lugha nzuri hadi unafurahia. Kuna sehemu tulikwenda kula kwa mara ya kwanza nilimpa yule dada tip. Alituhudumia vizuri hadi raha. Sehemu kama hiyo lazima siku nyingine uende.
 
Wewe mwanamke hutaweza kuwamudu mabar maid..
Hao wanahitaji dume bazazi linalowapitia wakati wa kuwaajiri ..likali linalofoka .ndo wanaenda
Mi mbona sijawala mkuu 🀣🀣🀣 au ndio hapo nilipofeli nini?
 
Dah, mdudu ndio priority hapa kwangu ila biz imeenda down sana. Madem wengi kuwaweka nayo ni cost kuwatafuta na kuwafanyia training kila wakati. Ndio maana nataka mtu ambaye ni mzoefu ikibidi tugawane faida tu.
Usiwamege hao mabinti

Siyo Kila Kiuzwacho Sokoni Chafaa Kununuliwa
 
duuh ndo kusema kila biashara ni pasua hakuna yenye unafuu
lakini kweli bar wahudumu πŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒ muhimu sana
mwenyewe nimetoka sehemu mda si mrefu niliagiza tusker nikaambiwa hamna
akasema kunywa kilimanjaro dooh kwa tabasamu lile ukichanganya na umini nikamwambia lete tu 🍺🍺🍺 hahaaaa
 
mi mbona sijawala mkuu 🀣🀣🀣 au ndio hapo nilipofeli nini?
Tafuta dogo anaewala na kuwa control
We unam control dogo na dogo ana wa control wao....

Usisahau band weekend..zipo band Hadi laki mbili zinakupigia ..au nunua mziki utafute DJ
Unamlipa 50 Tu but anakujazia watu weekend
 
Hahahaha na fujo zangu zote huwezi amini mpaka kesho hunipigia simu dada "nimekumiss" sijapata boss kama wewe,,, najisemea kwendeni zenu huko wizi mtupu

Hawajielelewi wengi wao
Wala hawajui kuwa walikuwa wanakupasua kichwa..wanajiona Norma
 
Walah kuna sehemu ukienda unakuta muhudumu mchangamfu halafu ana lugha nzuri hadi unafurahia. Kuna sehemu tulikwenda kula kwa mara ya kwanza nilimpa yule dada tip. Alituhudumia vizuri hadi raha. Sehemu kama hiyo lazima siku nyingine uende.
Wahudumu wa hivyo ni wa kutafutwa kwa tochi na wateja wa kike sio km wanaume,, kiasi ukimpa lugha nzuri na kesho atarudi ila
tofauti sasa hii biashara wateja wake wengi ni jinsia me
 
Mdudu alikuwa mzuka mwanzo ila mpishi akazingua pakawa pana shida ya mpishi natafta mademu hawamalizi mwezi wanakacha mara at kaz ngumu na bla blah.
Changamoto km nilizopata yani ila badae wa jikoni nikampata konki shida ikawa hao magumegume tu
 
Wahudumu wa hivyo ni wa kutafutwa kwa tochi na wateja wa kike sio km wanaume,, kiasi ukimpa lugha nzuri na kesho atarudi ila
tofauti sasa hii biashara wateja wake wengi ni jinsia me
Hahahah mhudumu anafanya kazi anawaza anaondokaje na jamaa. Huku wateja wengine wanamzonga nishakuwa na mfanyakazi anamwambia mteja kunawa kule...huku kashika simu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…