Bonge Mpya
Member
- Jul 6, 2021
- 39
- 136
Habari yako
Mimi ni kijana ambae nilitumia mtaji wa Tsh 25,000 na sasa naingiza laki 4 Hadi laki 7 kila Mwezi.
Mwaka Jana 2021 mwezi wa 3 nilitumia mtaji huo kununua domain name kisha nikaanzisha Blog.
Baada ya kufungua blog yangu nika-apply AdSense kama bloggers wengine wanavyofanya. Haikuchukua muda AdSense wakakubali na hapo ndipo pesa ikaanza kuingia.

MAMBO MUHIMU YA KUWA NAYO kwa Hapa Bongo
1. Elfu 25,000/ ambayo unalipia Domain (link ya blog) kwa mwaka
2. Kitambulisho Cha mpiga kura
3. Sanduku la posta (P O.BOX) linalofanya KAZI
4. Kadi ya bank (VISA au Mastercard) yenye uwezo wa kupokea pesa mtandaoni. (Binafsi natumia CRDB)
5. Ujuzi wa lugha ya Kingereza Kuhusu mambo mengine kama jinsi ya kupata views, kupost, utajifunza kidogo kidogo.

Sina ujuzi wowote wa IT hivyo kuwa na blog sio lazma usomee IT. Unaweza kujifunza kidogo kidogo
BLOG sio hobby ila ni KAZI kama KAZI nyingine