Mtaji wa 25,000/ Unavyonipatia laki 4 kila Mwezi

Mtaji wa 25,000/ Unavyonipatia laki 4 kila Mwezi

Nimeanza mambo ya online niligraduate f4 nilianzaga na mambo ya kufanya link shortener nilikuwa natumiaga Adfly, nikaja mambo ya survey nikawa natumia sana Surveysavvy mpaka nilipoingia university ndio nikaanza blogging na huko ndio nikaona online kutamu coz tulikuwa tunatumia proxy kufanya self click kabla ya Kitumbua kuingia mchanga, nikahamia affiliate marketing na Upwork.
So najua njia za kuingiza pesa za kutumia akili na za ujanja ujanja mwing sana ndugu.
Sasa sizungumzii online marketing mkuu,nazungumzia SME investment ,umeenda nje ya mada kabisa hii SME in. 4.9 star kachek playstore
 
SME unaweza Anza kuwekeza from 10k na kuendelea na kupata faida kila lisaa ,join kwa Vodacom namba for easy deposit and withdrawal Vue App
 
Sasa sizungumzii online marketing mkuu,nazungumzia SME investment ,umeenda nje ya mada kabisa hii SME in. 4.9 star kachek playstore
Ndugu hzo sio tatizo unaikumbuka BRUXIS??????

Hii ilifungua mpaka office Africa (Nigeria) na walikuwa wanatoa training kwa pesa zao wenyewe wewe unawaambia tu cost wanakutumia then wanatumia hzo kuaminisha watu na kuongeza customers lakn walikuja kupita na pesa za watu kama masihara vile.

Reviews zinanunuliwa na ndio kazi za watu hzo kama unabisha atakuja mdau mwingne kukwambia mm mwenyewe mambo ya kununua followers, likes, subs, na reviews nimefanya sana ili project zang ziende hii Dunia bila ujanja ujanja mambo hayaendi.

Ila nikwambie tu Invest for your own risk.
 
SME unaweza Anza kuwekeza from 10k na kuendelea na kupata faida kila lisaa ,join kwa Vodacom namba for easy deposit and withdrawal Vue App
Hawa wanafanyakazi kama walivyokuwa Bruxis, Brickbilt, Zetbull hzo ni program ambazo naweza kusema ndio program tulizovuna hela kwa muda mrefu sana kabla ya kusepa na mizigo yetu ila kwakuwa wengne tuliwahi so hatukuwa na Loss shida kwa waliochelewa kuingia.

Kasome HYI(High Yield Investment Programs) wanafanyaje kazi ndio uje uelekezwe tena ila ukiwa mbishi nitakuacha ukishapigwa za uso utakuja kwenyewe humu.

Ukiwa mtiifu ukasoma vizur HYIPs zinavyofanya kazi na muda gani wa kuinvest ma kutoka ili usilie sana utakuwa unapata faida daily.
 
Ndugu hzo sio tatizo unaikumbuka BRUXIS??????
Hii ilifungua mpaka office Africa (Nigeria) na walikuwa wanatoa training kwa pesa zao wenyewe wewe unawaambia tu cost wanakutumia then wanatumia hzo kuaminisha watu na kuongeza customers lakn walikuja kupita na pesa za watu kama masihara vile.
Reviews zinanunuliwa na ndio kazi za watu hzo kama unabisha atakuja mdau mwingne kukwambia mm mwenyewe mambo ya kununua followers, likes, subs, na reviews nimefanya sana ili project zang ziende hii Dunia bila ujanja ujanja mambo hayaendi.

Ila nikwambie tu Invest for your own risk.
Acha kuwaaminisha watu uongo bhan no pain no gain ukiogopa kujaribu utalia njaa mpk kifo trust me
 
Hawa wanafanyakazi kama walivyokuwa Bruxis, Brickbilt, Zetbull hzo ni program ambazo naweza kusema ndio program tulizovuna hela kwa muda mrefu sana kabla ya kusepa na mizigo yetu ila kwakuwa wengne tuliwahi so hatukuwa na Loss shida kwa waliochelewa kuingia.

Kasome HYI(High Yield Investment Programs) wanafanyaje kazi ndio uje uelekezwe tena ila ukiwa mbishi nitakuacha ukishapigwa za uso utakuja kwenyewe humu.
Ukiwa mtiifu ukasoma vizur HYIPs zinavyofanya kazi na muda gani wa kuinvest ma kutoka ili usilie sana utakuwa unapata faida daily.
Na ndio fursa mjini izi kwa ushauri unaanz kidogo then unakua mtaji
 
Hawa wanafanyakazi kama walivyokuwa Bruxis, Brickbilt, Zetbull hzo ni program ambazo naweza kusema ndio program tulizovuna hela kwa muda mrefu sana kabla ya kusepa na mizigo yetu ila kwakuwa wengne tuliwahi so hatukuwa na Loss shida kwa waliochelewa kuingia.

Kasome HYI(High Yield Investment Programs) wanafanyaje kazi ndio uje uelekezwe tena ila ukiwa mbishi nitakuacha ukishapigwa za uso utakuja kwenyewe humu.
Ukiwa mtiifu ukasoma vizur HYIPs zinavyofanya kazi na muda gani wa kuinvest ma kutoka ili usilie sana utakuwa unapata faida daily.
Nafata mashauri wakuu Ila hii kwa Sasa apa Tz wameiboresha mfumo Ina maan Wana mda mrefu kuwepo trust me

Screenshot_20220519-224953.png
 
KWA FAIDA YA WENGI.
Haya makampun yanayojinasibu kuwa uwekeze kiasi...... ili upate faida kwa lisaa, siku, na unakuta % ni kubwa sana ni WAONGO kwa 100%.
WANAWEZAJE KULIPA?
Miaka ya nyuma walikuwa wanasema wanawekeza kwenye migodi, Wananunua Gold, wanafanya biashara za Ndege, Magari ya Kifahari ili tu mlengwa ajue kuwa wana hela sana na wanawekeza mahali sahihi.
Kwa sasa baada ya Technology kukua kwa kasi wakaanza kusema wanaTrade Forex na pia wanafanya Crypto Mining kama Bitcoin yote hii ni kutaka tu kuaminisha watu kiwa pesa zao zipo salama.

Nizungumzie kuwa wanawezaje kulipa na waonekane ni Legit?
Hawa jamaa wanachofanya wanakuwa na mtaji wao mfano kwa za bongo hz wanakuaga na 1M tu balance ya kuwalipa wateja wa hawali kabisa wanaojiunga ili waonekane wapo vizur, baada ya muda wanaanza kuchukua pesa za wateja wapya na kuwalipa wale wa mwanzo mpaka pale watakapoona Target yao imefika wanazima System yao na mnabaki mnalalamika tu.

USAJILI WANAPATAJE?
Hili Swali limekuwa likiwasumbua wengi kuwa kama si halali mbona wamesajiliwa na Number zipo?.
Nipende tu kusema kuwa usajili mfano UK reg no zinauzwa kwa $100 tu unapewa namba na virtula Address yaan mtu akiingiza namba kweli unaonekana umesajiliwa na upo vizur kumbe za MCHONGO Tu.
Hawa wanaofanya hz ishu 80% kwa hapa kwetu ni wakenya na wanaoffice kali sana Nairobi, Naongea haya sio kwa kutunga nina jamaa wawili nawafaham walifungua system kama hzi wapo Nairobi wakawaliza watu (waafrica kwa wazungu) $300,000+ wakablock system, Na za Africa nying zinatoka NIGERIA.
NB:
HIZI NI DECI ZA KISASA
Weka hela yako ukijua muda si mrefu hautokuja uione hyo system wakishakusanya za kutosha.

SINA MPANGILIO MZURI KWENYE KUANDIKA MAANA NATUMIA SIMU ILA NAJUA UJUMBE UMEFIKA.
 
Nafata mashauri wakuu Ila hii kwa Sasa apa Tz wameiboresha mfumo Ina maan Wana mda mrefu kuwepo trust me

View attachment 2231033
Hakuna watu waliokuwa serious kama BRUXIS walisema wapo Australia wakawa wanakodi mpaka workstation zenye computer za kutosha na kuzipiga label za Bruxis wakat wa kuchukua video ili ionekane wapo sahihi, haitoshi walikuwa wanafanya mpaka seminars za nchi zenye wanachama wengi kwa gharama zao ila yote wakaja kupita kama ni mfuatiliaji najua utakuwa makini hizi ni Ponzi schemes tu hawan biashara yoyote na wanaoendesha hz system wengne wanakuaga tu kwenye maGheto yao ila wanatumia VPN (premium)
 
Hizo laki 4 kwa mwezi ndo zimekuwasha mpka umekuja kuanzisha uzi [emoji1][emoji1] newbies mnafurahisha sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwache kijana ale hela ya Sundar Pichai
 
Hakuna kitu Raha kama unaenda Bank tareh 23 kuchukua Million+++ yaan kidogo wengne tupate ukimw maana wale wadada wa CRDB walinizoea mpaka wakawa wananiuliza unafanya kaz wap mbona wewe mshahara inaingia mapena mm nawaambia Mm ni mtu w IT nafanya kazi na Google muda huo ndio napiga Compter Eng. yang daah wakapagawa hatar.
Na kipnd hcho wafanyakaz walikuwa wanalipwa tareh 30 kabla ya JPM.
Ila watoto wa IFM Mungu anawaona tungekuwa tunaenda China sasa hv kufuata mizigo.
 
Back
Top Bottom