Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Anatafuta subscribers wengi wa video zake! Halafu pia kupitia ku invite watu, kuna credits anazipata, tena nyingi kulinganisha na njia nyingine za ku connect watu na matukioa kwenye blog yake!Kwanini tukiona fursa inayolipa huwa hatupigi pesa hadi tutosheke ndipo tuanze kushirikisha wengine?
Kwanini unatumia nguvu kutangaza? nimeona uzi huu umepost majukwa tofauti tofauti
Kwanini atushirikishe sisi na asiwape fursa ndugu?
Hii ni sawa na may be kuna sehemu umeigundua kuwa pesa zinachimbwa, halafu ukatangazie umma! Hivi inaingia akilini kweli! Kwanini hasiupige mwingi peke yake?
[emoji850][emoji850]