Mtaji wa 25,000/ Unavyonipatia laki 4 kila Mwezi

Mtaji wa 25,000/ Unavyonipatia laki 4 kila Mwezi

Hakuna watu waliokuwa serious kama BRUXIS walisema wapo Australia wakawa wanakodi mpaka workstation zenye computer za kutosha na kuzipiga label za Bruxis wakat wa kuchukua video ili ionekane wapo sahihi, haitoshi walikuwa wanafanya mpaka seminars za nchi zenye wanachama wengi kwa gharama zao ila yote wakaja kupita kama ni mfuatiliaji najua utakuwa makini hizi ni Ponzi schemes tu hawan biashara yoyote na wanaoendesha hz system wengne wanakuaga tu kwenye maGheto yao ila wanatumia VPN (premium)
Kiongozi umeeleza vzr mnooo. Lakini wapo wasio sikia kama kenge kuckia kwake mpk masikio yatoe damu tu
 
Blog yangu ina muda mrefu na ina viewrs kibao lakini adsense mbona inagoma..unaweza kurekebisha?? Nasmiletz.blogspot.com
Makosa unayofanya
1. Lugha unayotumia ( AdSense hai- support lugha ya KISWAHILI )
2. Muonekano ( Theme unayotumia sio nzuri )
3. Copyrighted Content

AdSense Ni kwa publisher na tools tu na sio,
 
Kwa kuongezea...Sina laptop Wala computer. Natumia smartphone yangu kuendesha Blog
unaingiza laki 4 hadi 7 kwa mwezi halafu huna laptop? Unafanyaje hiyo kazi kwa ufanisi,kama huna laptop na unaingiza hiyo hela huoni unapiga kamba?
 
Umetoa hoja nzuri...Binafsi nmetumia nguvu nyingi kupromote hili suala kwasababu Nina uhakika nalo.
Pili siwezi kusema nimeridhika kwasababu pesa napata Bado ni ndogo kulinganisha na bloggers wengine ambao wanaingiza mamilioni ya pesa.
Pia siku zilizopita sikuweza ku-share suala hili kwasababu sikuwa na uhakika nalo nilikuwa nasoma tu kwenye article za watu.
Hivyo Ondoa shaka

Mkuu nimeiona blog yako iko vizuri na nimependa template yako naomba unisadie inaitwaje au Kama hutojar link yake
 
Habari yako

Mimi ni kijana ambae nilitumia mtaji wa Tsh 25,000 na sasa naingiza laki 4 Hadi laki 7 kila Mwezi.

Mwaka Jana 2021 mwezi wa 3 nilitumia mtaji huo kununua domain name (hii) kisha nikaanzisha Blog ambayo ni hii hapa.
Baada ya kufungua blog yangu nika-apply AdSense kama bloggers wengine wanavyofanya. Haikuchukua muda AdSense wakakubali na hapo ndipo pesa ikaanza kuingia.

View attachment 2227888

MAMBO MUHIMU YA KUWA NAYO
1. Elfu 25,000/ ambayo unalipia Domain (link ya blog) kwa mwaka
2. Kitambulisho Cha mpiga kura
3. Sanduku la posta (P O.BOX) linalofanya KAZI
4. Kadi ya bank (VISA au Mastercard) yenye uwezo wa kupokea pesa mtandaoni. (Binafsi natumia CRDB)
5. Ujuzi wa lugha ya Kingereza Kuhusu mambo mengine kama jinsi ya kupata views, kupost, tutaelekezana kidogo kidogo.
KAMA hivyo vitu unavyo na unahitaji kuwa na blog nipo tayari kukusaidia BURE.

WhatsApp: +255718453258
Ndugu jikusanye upate pia mobile app utakuja kunishukuru
 
Bg up Mwamba ntakuchek unipe madini

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
ASALI KUTOKA TABORA.

Nauza Asali Ya Jumla Na Rejareja
Ipo Ya Nyuki Wadogo Na Nyuki Wakubwa.

Tunafunga Kwa Vipimo Tofauti Tofautii

Bei Ya Rejareja
Lita1 - 10,000 (Nyuki Wa Kubwa)
Lita1 - 25,000 (Nyuko Wa Dogo)

Bei Ya Jumla
Tuwasiliane Maana Kuna Ofa Zaidi

[emoji3513]0658 357537
Call/ WhatsApp/Sms
Tabora

[emoji625] [emoji593] Tunafanya Delivery Nchi Nzima.
 
Umetoa hoja nzuri...Binafsi nmetumia nguvu nyingi kupromote hili suala kwasababu Nina uhakika nalo.
Pili siwezi kusema nimeridhika kwasababu pesa napata Bado ni ndogo kulinganisha na bloggers wengine ambao wanaingiza mamilioni ya pesa.
Pia siku zilizopita sikuweza ku-share suala hili kwasababu sikuwa na uhakika nalo nilikuwa nasoma tu kwenye article za watu.
Hivyo Ondoa shaka
Hongera sana kwa kujitolea kwako ngoja. Nije unifundishe nami

Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
 
Amini...Sitozi hata senti moja, nimetoa namba Whatsapp kwa ajili kurahisisha maelekezo. Pia kama watatokea wengi iwe rahisi kuunda group. Ni BURE 100%
Kwanini usifungue channel YouTube? Mpaka uwaite wasaup
 
Watu msiishi kwa woga 25k hata saa7 haifiki
Supu5k
Bia10 za 1500 =15000
Nyama choma na ugali mchana 8000
Nauli ya boda kutoka home hadi bar na kurudi 2000

Ishaisha 25000

Hebu kama mna spare time tumieni fursa ya bure sio mnashinda JF kupost ujinga na kutafuta LIKES, na urefu wa nyuzi

____________''''___
Acha niendelee kumalizia jibapa nikatafute supu
 
Kununua domains nyingi tafsiri yake ni kuwa niwe na blog nyingi. Kwasababu blog moja inatumia domain moja. Kwasasa Sina uwezo wa kumiliki blog nyingi, sitaweza kuziendesha.
Mimi nime-share fursa hii kwenu kama huamini au unaona nataka kukutapeli Achana NAYO ila jua tu BLOG INALIPA
Ntafanya hii
 
Back
Top Bottom