Mtaji wa 25,000/ Unavyonipatia laki 4 kila Mwezi

Mtaji wa 25,000/ Unavyonipatia laki 4 kila Mwezi

Naona watu wanabisha sana humu na kumwabia mleta hoja angekuwa na Domain nying.
Kiufupi niseme tu kumiliki Blog zaid ya 1 si kazi rahisi maana inahitaji muda je utaweza kuzimudu kuziffed data zote hzo blog?
Hii ni sawa na Millard ayo awe anamiliki millardayo dot com, mwanachi, muungwana, itvtz je ataweza kuzipa huduma hzo zote?

Lengo la mtoa mada ni kuwa kama unaona una Passion ya uandishi na hujui pa kuanzia unaweza ukaanzia hapo mfano Baraka mpenja alivyokuwa anatangaza mpira na clip zake zinaenda bure watu wanazitumia alishauriwa afungue mpenja tv na leo ni moja ya online Tv inayotizamwa sana je angeona haina faida aridhike na mshahara wa azam media si kiasi anachopata leo angekosa??

Mch.Daniel Mgogo clip zake zilizagaa sana na hakuwa na channel aliposhauriwa kuwa awe na channel yake ili awe anapata kitu kidogo sio kutegemea tu sadaka za wadau akafuata sasa hv si haba anapata kitu. So ukiona unashauriwa kitu sio wote wanapaswa kukitekeleza na watafanikiwa.

Ata kama mleta hoja atakushaur kwa kukulipisha kitu kidogo ni sawa maana hakuna huduma ya bure ila ukija kufanikiwa utamshukuru.
NB:
Blogging si kwa kila mtu kisa umesikia inalipa utakuja uachie njiani na uanze kusema mambo ya online ni UTAPELI.
Blogging inahitaji kujituma, muda, uvumilivu, na ikiwezekana kuinvest pesa panapobidi.
Kaka jambazi kamuita kaka ake
 
Habari yako

Mimi ni kijana ambae nilitumia mtaji wa Tsh 25,000 na sasa naingiza laki 4 Hadi laki 7 kila Mwezi.

Mwaka Jana 2021 mwezi wa 3 nilitumia mtaji huo kununua domain name kisha nikaanzisha Blog.
Baada ya kufungua blog yangu nika-apply AdSense kama bloggers wengine wanavyofanya. Haikuchukua muda AdSense wakakubali na hapo ndipo pesa ikaanza kuingia.


View attachment 2227888

MAMBO MUHIMU YA KUWA NAYO
1. Elfu 25,000/ ambayo unalipia Domain (link ya blog) kwa mwaka
2. Kitambulisho Cha mpiga kura
3. Sanduku la posta (P O.BOX) linalofanya KAZI
4. Kadi ya bank (VISA au Mastercard) yenye uwezo wa kupokea pesa mtandaoni. (Binafsi natumia CRDB)
5. Ujuzi wa lugha ya Kingereza Kuhusu mambo mengine kama jinsi ya kupata views, kupost, utajifunza kidogo kidogo.
Tuwasiliane Mkuu sikupati DM

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Habari yako

Mimi ni kijana ambae nilitumia mtaji wa Tsh 25,000 na sasa naingiza laki 4 Hadi laki 7 kila Mwezi.

Mwaka Jana 2021 mwezi wa 3 nilitumia mtaji huo kununua domain name kisha nikaanzisha Blog.
Baada ya kufungua blog yangu nika-apply AdSense kama bloggers wengine wanavyofanya. Haikuchukua muda AdSense wakakubali na hapo ndipo pesa ikaanza kuingia.


View attachment 2227888

MAMBO MUHIMU YA KUWA NAYO
1. Elfu 25,000/ ambayo unalipia Domain (link ya blog) kwa mwaka
2. Kitambulisho Cha mpiga kura
3. Sanduku la posta (P O.BOX) linalofanya KAZI
4. Kadi ya bank (VISA au Mastercard) yenye uwezo wa kupokea pesa mtandaoni. (Binafsi natumia CRDB)
5. Ujuzi wa lugha ya Kingereza Kuhusu mambo mengine kama jinsi ya kupata views, kupost, utajifunza kidogo kidogo.
Thanks
 
Anatafuta subscribers wengi wa video zake! Halafu pia kupitia ku invite watu, kuna credits anazipata, tena nyingi kulinganisha na njia nyingine za ku connect watu na matukioa kwenye blog yake!

Kwanini atushirikishe sisi na asiwape fursa ndugu?

Hii ni sawa na may be kuna sehemu umeigundua kuwa pesa zinachimbwa, halafu ukatangazie umma! Hivi inaingia akilini kweli! Kwanini hasiupige mwingi peke yake?
[emoji850][emoji850]
Kumbe wewe una element za kibinafsii ndio maana fursa hii haikuja kwako [emoji23]pengine mungu alijuaa autakua baraka kwa wengine kwa kuwafunguliaa A B C pengine wewe ungeweza kukaa kimya na kupata Hela peke yako mwenzio ameonelea na wengine pia ambao wapo passioned na uandishii wanufaike pia

Wewe una ELEMENT ZA KIBINAFSI
 
Kununua domains nyingi tafsiri yake ni kuwa niwe na blog nyingi. Kwasababu blog moja inatumia domain moja. Kwasasa Sina uwezo wa kumiliki blog nyingi, sitaweza kuziendesha.
Mimi nime-share fursa hii kwenu kama huamini au unaona nataka kukutapeli Achana NAYO ila jua tu BLOG INALIPA
Unatuaminisha kwa herufi kubwa ..😁 naijua hiyo
 
mtoa mada nakufundisha kitu kimoja, kusanya id za ndugu zako kuanzia baba, mama ,kaka, dada na mdogo wako jumla mnakuwa sita, kila mmoja akipiga laki 7 kwa mwezi mtakuwa na karibia 5m kwa mwezi
 
Kwanini tukiona fursa inayolipa huwa hatupigi pesa hadi tutosheke ndipo tuanze kushirikisha wengine?

Kwanini unatumia nguvu kutangaza? nimeona uzi huu umepost majukwa tofauti tofauti
Tumeumbwa hivyo
 
💥OFFER-OFFER-OFFER BAABKUBWA💥
💥 Jipatie Web Hosting Ya Mwaka Mmoja Kwa Tsh 55,000 Tu! 💥
1️⃣ 25 NVMe SSD Storage
2️⃣ Free Website Migration/Transfer
3️⃣ Maximum Speed (Up to 3x)
4️⃣ Kama Unaitaji (Landing Page) au PHP Script yoyote, tuta-install Bure

⚡️ Usikose ofa hii ya kipekee!.
📞Tupigie: 0780 707 771

NetFasta
💨 Tumezingatia Speed Na Security:
✔️ NVMe SSD Storage
✔️ LiteSpeed Server
✔️ Unlimited Bandwidth
✔️ Imunify360 (Malware Detection and Removal)
✔️ Free SSL Certificates .
 
Amini...Sitozi hata senti moja, nimetoa namba Whatsapp kwa ajili kurahisisha maelekezo. Pia kama watatokea wengi iwe rahisi kuunda group. Ni BURE 100%
Namba za WhatsApp ziko wapi kijana?
 
Back
Top Bottom