Mtaji wa 25,000/ Unavyonipatia laki 4 kila Mwezi

Mtaji wa 25,000/ Unavyonipatia laki 4 kila Mwezi

Kununua domains nyingi tafsiri yake ni kuwa niwe na blog nyingi. Kwasababu blog moja inatumia domain moja. Kwasasa Sina uwezo wa kumiliki blog nyingi, sitaweza kuziendesha.
Mimi nime-share fursa hii kwenu kama huamini au unaona nataka kukutapeli Achana NAYO ila jua tu BLOG INALIPA
OK. Basi kwa mfano ukamfungulia mdogo wako, kaka yako au mama?
 
Huenda wewe ndo ukawa Zwazwa. Kama unafanya Blogging huwezi kukosoa Uzi huu ila kama hujui kuhusu Blogging wewe ni Zwazwa Mkuu
Mmmh hapa sasa unakosea sio lazima kila mtu ajue blogging na kutokujua hakuwezi kumfanya mtu kuwa zwazwa...
 
Kununua domains nyingi tafsiri yake ni kuwa niwe na blog nyingi. Kwasababu blog moja inatumia domain moja. Kwasasa Sina uwezo wa kumiliki blog nyingi, sitaweza kuziendesha.
Mimi nime-share fursa hii kwenu kama huamini au unaona nataka kukutapeli Achana NAYO ila jua tu BLOG INALIPA
Utakosaje uwezo wa kumiliki Blog nyingi na wakati Blog moja tu unayo jiunga kwa elfu 25, inakuingizia laki 4 kwa mwezi?
 
Yeyote atakayekufuata uko WhatsApp ajue kabisa hamna kitu atapata. Hakuna namna unaweza nunua domain name kisha ukatengeneza blog na kuingia Adsense. Hapo unatakiwa ujaze content, uwe na viewers na uwe na muda wa kutosha wengine miezi sita na zaidi.

Wewe hiyo Adsense ambayo ulisajili domain name na kutengeneza blog unayoendesha kwa simu labda ni ya baba yako
 
Mkuu kwa nini usieleze kila kitu hapa, mfano namna ya kuwa na domain yako, kulipia iyo 25,000 na tip zingine.

Ukiona kuna mazungumzo zaidi whatsap inaleta ukakasi
 
Kwa nn usiandike yote hapa hapa?? Nini kimeshindikana mpaka mtu akufate WhatsApp?
 
Naona watu wanabisha sana humu na kumwabia mleta hoja angekuwa na Domain nying.
Kiufupi niseme tu kumiliki Blog zaid ya 1 si kazi rahisi maana inahitaji muda je utaweza kuzimudu kuziffed data zote hzo blog?
Hii ni sawa na Millard ayo awe anamiliki millardayo dot com, mwanachi, muungwana, itvtz je ataweza kuzipa huduma hzo zote?

Lengo la mtoa mada ni kuwa kama unaona una Passion ya uandishi na hujui pa kuanzia unaweza ukaanzia hapo mfano Baraka mpenja alivyokuwa anatangaza mpira na clip zake zinaenda bure watu wanazitumia alishauriwa afungue mpenja tv na leo ni moja ya online Tv inayotizamwa sana je angeona haina faida aridhike na mshahara wa azam media si kiasi anachopata leo angekosa??

Mch.Daniel Mgogo clip zake zilizagaa sana na hakuwa na channel aliposhauriwa kuwa awe na channel yake ili awe anapata kitu kidogo sio kutegemea tu sadaka za wadau akafuata sasa hv si haba anapata kitu. So ukiona unashauriwa kitu sio wote wanapaswa kukitekeleza na watafanikiwa.

Ata kama mleta hoja atakushaur kwa kukulipisha kitu kidogo ni sawa maana hakuna huduma ya bure ila ukija kufanikiwa utamshukuru.
NB:
Blogging si kwa kila mtu kisa umesikia inalipa utakuja uachie njiani na uanze kusema mambo ya online ni UTAPELI.
Blogging inahitaji kujituma, muda, uvumilivu, na ikiwezekana kuinvest pesa panapobidi.
 
Habari yako

Mimi ni kijana ambae nilitumia mtaji wa Tsh 25,000 na sasa naingiza laki 4 Hadi laki 7 kila Mwezi.

Mwaka Jana 2021 mwezi wa 3 nilitumia mtaji huo kununua domain name (hii) kisha nikaanzisha Blog ambayo ni hii hapa.
Baada ya kufungua blog yangu nika-apply AdSense kama bloggers wengine wanavyofanya. Haikuchukua muda AdSense wakakubali na hapo ndipo pesa ikaanza kuingia.


View attachment 2227888

MAMBO MUHIMU YA KUWA NAYO
1. Elfu 25,000/ ambayo unalipia Domain (link ya blog) kwa mwaka
2. Kitambulisho Cha mpiga kura
3. Sanduku la posta (P O.BOX) linalofanya KAZI
4. Kadi ya bank (VISA au Mastercard) yenye uwezo wa kupokea pesa mtandaoni. (Binafsi natumia CRDB)
5. Ujuzi wa lugha ya Kingereza Kuhusu mambo mengine kama jinsi ya kupata views, kupost, tutaelekezana kidogo kidogo.
KAMA hivyo vitu unavyo na unahitaji kuwa na blog nipo tayari kukusaidia BURE.

WhatsApp: +255718453258
Ndugu Usione ajabu kwann hzi mada hazipo Jamii forum ila kwenye magroup ya telegram kuna members kibao na whatsapp Group ipo ya Bloggers Tz.
Humu weng hawaamin na ukileta watakuchalenge sana so next time usilete hzi mada humu.
Nawajua humu kuna Manguli kibao ambao wanapiga pesa mpaka Freelancer na Upwork tena ndefu ila humu hawasemi kitu na ata ukiwaomba ushaur hawawez kukupa coz wanajua wakianza kushusha madini wataanza kusemwa kuwa ni matapeli.

Nenda Quora, Digitalpoint, WorriorForum, BlackhatWorld. Hzo platform ndio huwa tunashinda humu ni kuzungumzia mambo ya umbea tu na siasa na kuisema serikali.

Mtanzania anataka adanganywe au mpaka asikie kuwa Diamond anafanya hii kitu ndio wote wataingia kichwa kichwa kama Nyumbu.
Angalia Online Tv zilivyo nying mpaka wengne hawajui ata waweke nn wamebaki wanaweka contents za kupotosha jamii utasikia "siku ya 1 kuliwa tigo" na hapo watajaa wabongo wengi sana ila ukiweka "Jinsi ya kujiajiri Online" kwa bongo sahau na yote hii waliposikia kuwa wasanii na wakina MillardAyo wanapiga pesa kwenye Youtube.

Ila Nachoshukuru sasa hv Google nao wamechange Algoeithms zao na zimekuwa smart sana.
 
Kununua domains nyingi tafsiri yake ni kuwa niwe na blog nyingi. Kwasababu blog moja inatumia domain moja. Kwasasa Sina uwezo wa kumiliki blog nyingi, sitaweza kuziendesha.
Mimi nime-share fursa hii kwenu kama huamini au unaona nataka kukutapeli Achana NAYO ila jua tu BLOG INALIPA
wasitani kwa Mwezi unapata viewers kwenye blog yako?
 
Njoo pm sio janja mkuu
Nimeanza mambo ya online niligraduate f4 nilianzaga na mambo ya kufanya link shortener nilikuwa natumiaga Adfly, nikaja mambo ya survey nikawa natumia sana Surveysavvy mpaka nilipoingia university ndio nikaanza blogging na huko ndio nikaona online kutamu coz tulikuwa tunatumia proxy kufanya self click kabla ya Kitumbua kuingia mchanga, nikahamia affiliate marketing na Upwork.
So najua njia za kuingiza pesa za kutumia akili na za ujanja ujanja mwing sana ndugu.
 
Back
Top Bottom