MTAJI wa 25m: Pharmacy au hardware

MTAJI wa 25m: Pharmacy au hardware

Nashauri uende na pharmacy, ila kama mdau mmoja alivoshauri mwanzo tulia sana kwene kutafuta location... hii unaweza tumia kigezo kama sehemu ambayo watu wengi wanapita au ni kituo wakitokea hospital, wanavoenda makazini au kurudi majumbani au sehemu inayokusanya watu wengi.

Ukishafungua, jitahidi sana kwene usimamizi, kuwa na mtu unaemwamini akusaidie kama uko busy, ajiri watu wanaojielewa mean, usitafute cheap labour hutajutia.

NB; tumia mda kidogo kujifunza jinsi gani izo biashara zinafanyika, wap utapata mizigo kwa bei nzuri, na ni dawa gani zinatoka kipindi gani
 
nashauri uende na pharmacy, ila kama mdau mmoja alivoshauri mwanzo tulia sana kwene kutafuta location... hii unaweza tumia kigezo kama sehemu ambayo watu wengi wanapita au ni kituo wakitokea hospital, wanavoenda makazini au kurudi majumbani au sehemu inayokusanya watu wengi.
Ukishafungua, jitahidi sana kwene usimamizi, kuwa na mtu unaemwamini akusaidie kama uko busy, ajiri watu wanaojielewa mean, usitafute cheap labour hutajutia.

NB; tumia mda kidogo kujifunza jinsi gani izo biashara zinafanyika, wap utapata mizigo kwa bei nzuri, na ni dawa gani zinatoka kipindi gani
Ubarikiwe
 
Pharmacy ni biashara nzuri sana lakini kwa waliofanikiwa, kuna iliowatia adabau hawataki hata kuiona. Changamoto kubwa ya Pharmacy ni cost za uendeshaji ni kubwa sana, nina msela wangu alikula hasara ya 10 m ndani ya miezi 6, kwahiyo unahitaji kuwa makini sana na hasa unapokua na mtaji mdogo kama huo wako.

Ukiwa upo tayari kuchukua high risk nenda na pharmcy, Ila kama hupo tayari ku take high risk nenda na hardware.
 
Ningekushauri fungua hardware kuliko pharmacy.

Unaweza kuanza na mtaji mdogo huku unaongezea kidogokidogo ukiwa unawasoma wateja wako wanahitaji nini zaidi. Mfano, unaanza na vifaa vya 5M vya ujenzi huku unaangalia mahitaji. Then unaongeza vingine vya 5M vya plumbing and electrical. Kama kunahitajika mbao utaongeza 5M ufanye mchakato ulete mbao. 10M iliobaki benki ni emmergency.

Ubaya wa pharmacy ni operation costs. Zinahitaji uwe na muhudumu mwenye vyeti husika. Wakaguzi wanakuja kila leo. Ni delicate business kwa mtu asie na uzoefu nao.

Ila hardware haina hizo complications.
 
Wanajamii,

Najua zote ni best ideas:

●Hardware ya vifaa vidogo vidogo vya ujenzi

●Pharamcy ya kisasa

■LOCATION: Miji mikubwa au miji inayokuwa kwa kasi. Katika maeneo yaliyokuwa na movement kubwa za watu.

Naombeni maoni yenu kutokana na uzoefu na uelewa wenu kuhusina idea ipi yenye return nzuri na ya uhakika from time to time.

Karibuni.
Hardware hasa ukipata dodoma maeneo ya msalato,ntyuka,na sehemu nyingine nyingi.

Ukijumlisha na wakala wa pesa mitandao ya simu na mabenki, ukaweka na mbao kiasi,tofali nzuri unalambishia na cement ya barabara kidogo sana kwa mbali.

Unakuwa na mashine ya tofali na mixer,unaweza pata mkopo wa mashine kupitia efta hata kama unaanza biashara. I have been doing it for years and it is the best
 
Pharmacy ni biashara nzuri sana lakini kwa waliofanikiwa, kuna iliowatia adabau hawataki hata kuiona. Changamoto kubwa ya Pharmacy ni cost za uendeshaji ni kubwa sana, nina msela wangu alikula hasara ya 10 m ndani ya miezi 6, kwahiyo unahitaji kuwa makini sana na hasa unapokua na mtaji mdogo kama huo wako.

Ukiwa upo tayari kuchukua high risk nenda na pharmcy, Ila kama hupo tayari ku take high risk nenda na hardware.
Kweli, Pharmacy inahitaji kutake high risk sana.

Kwa waliofanikiwa wanaserereka zaidi ya kitonga, ila kufanikiwa kule pamechukua muda wa miaka kadhaa.

Nina mfano hai kuna yupo kwenye biashara ya Pharmacy, kipindi anaanza miaka 9 iliyopita alikuwa analaza mauzo ya elfu 24 -50 kwa siku, ila sasa(muda huu ninapoandika hapa) analaza mauzo ya 1M hadi 1.5M kwa siku.

Hiyo Pharmacy yake imezaa Pharmacy zingine 4, jamaa alikuwa mwajiriwa wa serikalini tayari kashachoma vyeti moto(kaacha kazi) ili apate muda wa kutosha kuendesha Pharmacy zake.

Ukiangalia huyu jamaa ametake risk kubwa sana, kumbuka wakati bado hajaacha kazi tayari Pharmacy ya mwanzo ilikuwa imeshazaa pharmacy 3.

Kwahiyo kuhusu Pharmacy (biashara yoyote ni kutake risk sana bila kukataa tamaa ila inabidi uwe na back up ili ukijikwaa uinuke uendelee na kupambana) kama huna back up ukianguka huwezi kuendelea na kupambana muda huohuo.

Narudia tena kama nilivyosema kwenye comment yangu ya mwanzo, mchawi namba moja katika biashara ya Pharmacy ni LOCATION.
 
Biashara inayopokea malipo kwa njia ya benki au simu ndiyo inafaa kwa dunia yetu ya sayansi na teknolojia. Na itakuwa rahisi zaidi kufanya biashara kama umesoma pharmacy.

Hardware inahitaji watu washirikina na wenye uzoefu mkubwa wa hiyo kazi.

Mtu anaweza kuja kununua mzigo wa 2M alafu akakushikiza noti kadhaa ambazo ni feki. Na kuna wengine wamezibeba hata hawazitambui.
 
Hardware hardware utojutia location kibaha pwani.. mkuranga na viunga vyake vikindu na kisemvule lazima uwe milionea baada ya miaka 5
 
Famasi urasimu mwingi sana..kuweka mfamasia..kwalipa..bado kaguzi nyingi sana zitakundama..kuazia ofisi ya mganga mkuu mpaka famasi kansili..

Bora uende na hardware sehemu zinazojengeka sana kama dom.

All the best.

#MaendeleoHayanaChama
Hata mimi hapo ningeanzisha ya hardware ili kuepuka usumbufu na mlolongo wa walaji wengi.
Kwenye hardware nikishalipia TRA na leseni basi nimemaliza hakuna usumbufu tena
 
Back
Top Bottom