Forrest Gump
JF-Expert Member
- Jul 2, 2021
- 637
- 1,532
- Thread starter
- #21
Hardware ya vifaa vya ujenzi vidogo.. sio material kubwa za ujenzKwa hardware pesa hiyo ni ndogo sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hardware ya vifaa vya ujenzi vidogo.. sio material kubwa za ujenzKwa hardware pesa hiyo ni ndogo sana.
Pale town.. au miji ya nje kidogo.Hardware kwa Mwanza inalipa, Kwa mikoa mingine sijui.
Ubarikiwenashauri uende na pharmacy, ila kama mdau mmoja alivoshauri mwanzo tulia sana kwene kutafuta location... hii unaweza tumia kigezo kama sehemu ambayo watu wengi wanapita au ni kituo wakitokea hospital, wanavoenda makazini au kurudi majumbani au sehemu inayokusanya watu wengi.
Ukishafungua, jitahidi sana kwene usimamizi, kuwa na mtu unaemwamini akusaidie kama uko busy, ajiri watu wanaojielewa mean, usitafute cheap labour hutajutia.
NB; tumia mda kidogo kujifunza jinsi gani izo biashara zinafanyika, wap utapata mizigo kwa bei nzuri, na ni dawa gani zinatoka kipindi gani
Town.Pale town.. au miji ya nje kidogo..
Pharmacy, Dodoma au nenda katoroNafikiria kufanya katika miji mikubwa mwz, arusha na inayokuwa kama dodoma..etc
Pamoja kaka.. kuna watu wanasema gharama za undeshaji ni kubwa sanaaaPharmacy, Dodoma au nenda katoro
Katoro ni wapiPamoja kaka.. kuna watu wanasema gharama za undeshaji ni kubwa sanaaa
Kwa hardware pesa hiyo ni ndogo sana.
Hardware hasa ukipata dodoma maeneo ya msalato,ntyuka,na sehemu nyingine nyingi.Wanajamii,
Najua zote ni best ideas:
●Hardware ya vifaa vidogo vidogo vya ujenzi
●Pharamcy ya kisasa
■LOCATION: Miji mikubwa au miji inayokuwa kwa kasi. Katika maeneo yaliyokuwa na movement kubwa za watu.
Naombeni maoni yenu kutokana na uzoefu na uelewa wenu kuhusina idea ipi yenye return nzuri na ya uhakika from time to time.
Karibuni.
Lazima uwe risk taker ukiamua kufanya biashara yeyote mkuu.Pamoja kaka.. kuna watu wanasema gharama za undeshaji ni kubwa sanaaa
Kweli, Pharmacy inahitaji kutake high risk sana.Pharmacy ni biashara nzuri sana lakini kwa waliofanikiwa, kuna iliowatia adabau hawataki hata kuiona. Changamoto kubwa ya Pharmacy ni cost za uendeshaji ni kubwa sana, nina msela wangu alikula hasara ya 10 m ndani ya miezi 6, kwahiyo unahitaji kuwa makini sana na hasa unapokua na mtaji mdogo kama huo wako.
Ukiwa upo tayari kuchukua high risk nenda na pharmcy, Ila kama hupo tayari ku take high risk nenda na hardware.
Mahari tena,Kwani jamaa anaenda kuoa?Inategemea mahari ilipo, hizo biashara zina faida na risk zake, teja uko wapi tukushauri kulingana na hilo eneo
Hata mimi hapo ningeanzisha ya hardware ili kuepuka usumbufu na mlolongo wa walaji wengi.Famasi urasimu mwingi sana..kuweka mfamasia..kwalipa..bado kaguzi nyingi sana zitakundama..kuazia ofisi ya mganga mkuu mpaka famasi kansili..
Bora uende na hardware sehemu zinazojengeka sana kama dom.
All the best.
#MaendeleoHayanaChama