Mtaji wa milioni 3 nifanye biashara gani? Nilikuwa nakopesha vyombo, wakopaji wasumbufu kulipa

Vi
Vipi za watoto?
 
Wadau nina mtaji wa milioni 3 unatoka na kazi ya kukopesha vyombo nifanye biashara gani maana hasa hivi wakopaji wamekuwa wasumbufu hawalipi na nimefanya miaka 5. Nataka nifanye biashara nyingine usiyohusiana na mikopo. Nipo Dar Gongo la Mboto.
Nataka sufuria mbili na chupa ya chai sufuria moja nalipa cash
 
Fanya utafiti kabla ya kufanya biashara yoyote ingawa sio guarantee ya kufanikiwa but itapunguza risks
 
mkuu naomba mawasilano na mahali unipo,tabora
 
HOngera kwa kuwa na mtaji mzuri ,pia ni ngumu kupata biashara inayo lipa then haina hasara kwa karne hii tuliyo nayo.
Ushauri wangu fanya biashara ya dagaa wakavu kutoka ziwa victoria kupeleka mikoani maana hii ni biashara ambayo una deal na mahitaji muhimu kwa binadamu (chakula) automatically una deal na population kubwa ya watu wenye uchumi wa kati na chini ambao ndio watumiaji wengi wa hiki chakula.

Hivyo kwa vile wewe hutakuwa mzoefu kwenye hii biashara anza na kiasi ili kujua changamoto ndogo ndogo za kazi pia kwa vile wewe una mtaji utauza kwa bei ya jumla kwa kuwauzia wanao enda kuuza .ukikomaa hutojutia na hii kazi.
Mimi nauza dagaa pia hapa MWANZA KIRUMBA(MWALONI) soko la kimataifa dagaa na samaki.0657886964
PIGA SIMU;
 
Afanya biashara ambayo hahitaji kuvaa tai kumbe hizi biashara za kawaida Ndiyo zina lipa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…