Mtaji wa milioni 3 unatosha kufungua duka la dawa?

Nina pesa kama nilivyoiainisha hapo juu,

Na ninahitaji kufanya biashara ya duka la dawa na sina kitu hata kimoja zaidi ya pesa yangu mfukoni. Je, nikianza harakati sitoishia njiani?

Zaidi soma:

inatosha sana
 
Mtaji wa M3 kwa kufungua Duka la Dawa muhimu inatosheleza vizuri kabisa ....ifahamike kwamba Duka la dawa muhimu ni tofauti duka la dawa (Pharmacy)
Duka la dawa muhimu lililetwa haswa kwa maeneo ambayo sio mjini watu walio mbali na huduma za afya na huuza baadhi ya dawa tuu dawa zisizohitaji cheti cha daktari OTC) km dawa za maumivu , kihozi , mafua na baadhi ya dawa na baadhi ya dawa chache zinazohitaji cheti cha daktari km mseto ,
Vibali hitajika ni cheti cha dispenser na leseni ya biashara
Hakikisha liko mbali na Pharmacy km 500 m

Gharama hapo kulipia cheti cha dispenser kila mwezi ni kiasi kisicho zidi laki moja utaelawana nae hiyo ni cheti tuu na akihitajika kuwepo utaelewana nae bei , gharama za kusajili ni 60000 tshs ofisi baraza la pharmacy lakini hakikisha unakutana na mfamasia wa wilaya yako kwanza ili aweze kuruhusu biashara ktk eneo hilo
Gharama za makabati kama ni ya Aluminum 1M ni vizuri sana , 1M inatosha kwa mtaji wa dawa
Gharama nyingine hapo ni ndogo ndogo km TRA 40000 tshs , vitu vitu vya kuhakisha usafi wa dukani kama ndoo ya bomba kwa kunawa mikono hasa kipindi hichi watu wa bwana afya wanapita sana na kuzingatia hilo ....
 
Vipi kuhusiana na muuzaji awe amesomea au mzoefu?
 
Jana nilikuwa naongea na mdau yupo kwenye kiduka Fulani hivi ....

Akaniambia wakaguzi walikuja wakachukua dawa na kuondoka nazo kwa madai haziruhusiwi...

Nikamuuliza mifano ya hizo dawa akaniambia ni Diclofenac sodium 50mg, prednisolone 5mg, caps Ampiclox 500mg nikamuuliza kwani wao wanazizuia dawa kama Hz kwa msingi upi wakati wao kazi Yao ni kuziuza na siyo ku prescribe

Hata dawa za level A na B mnabeba... Vipi wakizikosa huko hospital na wakaambiwa wakanunue na wakienda Dukani hazipo....

Vipi tunaisaidia jamii au tunaiangamiza..? Ila condom hawakuzichukua

Mnao uza dawa saizi Mna kazi...

Serikali itoe tamko la kuzuia wanao nunua dawa bila kuandikkwa na prescribers
 
Back
Top Bottom