Dropout
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 641
- 533
vibali vikojeeeMimi nina mdogo wangu alianza na dawa za laki 5 na anaendelea vzuri tu ,ni biashara inayolipa na haina stress kama uko na vibali vyote,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vibali vikojeeeMimi nina mdogo wangu alianza na dawa za laki 5 na anaendelea vzuri tu ,ni biashara inayolipa na haina stress kama uko na vibali vyote,
inatosha sanaNina pesa kama nilivyoiainisha hapo juu,
Na ninahitaji kufanya biashara ya duka la dawa na sina kitu hata kimoja zaidi ya pesa yangu mfukoni. Je, nikianza harakati sitoishia njiani?
Zaidi soma:
Duka la Dawa Muhimu za Binadamu (Pharmacy): Utaratibu wa Kufuata na Mtaji wa Kuanzisha Biashara
Wakuu nina maswali kadhaa kuhusu hii biashara. Je, ninahitaji vibali gani? Na vinapatikana katika ofisi zipi na pia itakuwa msaada sana kama itawezekana kuweka gharama zinazolipwa kwa kila kibali. Je, mtaji kiasi unatosha kufungua biashara hii. Natanguliza shukrani zangu. WADAU WENGINE...www.jamiiforums.com
NdioMzee nitumie namba zako pm mm ni mwaka wa 3napiga hiyo kazi na nilianza na mtj wa lk3
Vipi kuhusiana na muuzaji awe amesomea au mzoefu?Mtaji wa M3 kwa kufungua Duka la Dawa muhimu inatosheleza vizuri kabisa ....ifahamike kwamba Duka la dawa muhimu ni tofauti duka la dawa (Pharmacy)
Duka la dawa muhimu lililetwa haswa kwa maeneo ambayo sio mjini watu walio mbali na huduma za afya na huuza baadhi ya dawa tuu dawa zisizohitaji cheti cha daktari OTC) km dawa za maumivu , kihozi , mafua na baadhi ya dawa na baadhi ya dawa chache zinazohitaji cheti cha daktari km mseto ,
Vibali hitajika ni cheti cha dispenser na leseni ya biashara
Hakikisha liko mbali na Pharmacy km 500 m
Gharama hapo kulipia cheti cha dispenser kila mwezi ni kiasi kisicho zidi laki moja utaelawana nae hiyo ni cheti tuu na akihitajika kuwepo utaelewana nae bei , gharama za kusajili ni 60000 tshs ofisi baraza la pharmacy lakini hakikisha unakutana na mfamasia wa wilaya yako kwanza ili aweze kuruhusu biashara ktk eneo hilo
Gharama za makabati kama ni ya Aluminum 1M ni vizuri sana , 1M inatosha kwa mtaji wa dawa
Gharama nyingine hapo ni ndogo ndogo km TRA 40000 tshs , vitu vitu vya kuhakisha usafi wa dukani kama ndoo ya bomba kwa kunawa mikono hasa kipindi hichi watu wa bwana afya wanapita sana na kuzingatia hilo ....
Yani awe mzoefu? Hivi unajua una deal na uhai wa watu?Vipi kuhusiana na muuzaji awe amesomea au mzoefu?
mtu anatakiwa awe na vigezo ganiYani awe mzoefu? Hivi unajua una deal na uhai wa watu?
Awe amesomea Ufamasia au kozi ya utoaji wa dawa .mtu anatakiwa awe na vigezo gani
Kozi ya utoaj dawa inasomewa mda gan na sifa zipi zinatakiwaAwe amesomea Ufamasia au kozi ya utoaji wa dawa .
Samahani mkuu, vipi ukichanganya dawa na vipodozi Kama mafuta na perfume nayo kisheriaaa imekaaje?Awe amesomea Ufamasia au kozi ya utoaji wa dawa .
akikujibu nitagSamahani mkuu, vipi ukichanganya dawa na vipodozi Kama mafuta na perfume nayo kisheriaaa imekaaje?
Mzee nitumie namba zako pm mm ni mwaka wa 3napiga hiyo kazi na nilianza na mtj wa lk3
honger sana wakati unaanza ulikuwa na eneo ayaani frem yako maana zama hizi frem zimepanda sanaMzee nitumie namba zako pm mm ni mwaka wa 3napiga hiyo kazi na nilianza na mtj wa lk3
Jamani nina laki tatu je naweza anzisha duka dawa???