DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Kama biashara zipi hizo
Kama haikui vipi kuhusu kupungua?... Anyway, ni sehemu nzuri ya kuweka fedha ila it's better ufikirie biashara yenye uwezo wa kukua na kusambaa kwa maana hiyo yako ni kama uwekezaji fulani ulio na mgao fixed.Haina uwezo wakukua Wala kusambaa
Siku ukisema naacha, pesa yako ya mtaji (uliyoweka) unaipata yote au?Haina muelekeo wa kukua zaid itapungua washindani wataomgezeka
Ndio pesa ya mtaji yote unaipataSiku ukisema naacha, pesa yako ya mtaji (uliyoweka) unaipata yote au?
Sema nHabar wakuu Kuna biashara nafanya ambayo mtaji waki ni 45m lakini faida Yake napata laki tano ndani siku 14 Hadi mzingo unakua umeisha..je hii nisahihi kuendelea kuifanya kwa faid la ya laki tano kwa mtani huo au napoteza muda..ushauri wenu mtupe namchongo wabiashara za faida kubwa zaid
Habar wakuu Kuna biashara nafanya ambayo mtaji waki ni 45m lakini faida Yake napata laki tano ndani siku 14 Hadi mzingo unakua umeisha..je hii nisahihi kuendelea kuifanya kwa faid la ya laki tano kwa mtani huo au napoteza muda..ushauri wenu mtupe namchongo wabiashara za faida kubwa zaid sema ni biashara gani tuchangie wazo mkuu?
Asante sana kwa kumwambia ukweli.Biashara ya hovyo hiyo. Hata 5% ya huo mtaji kwa mwezi hupati ni biashara ya kipuuzi.
Nifanye biashara Gani Sasa mkuu ili nikunje hiyo Hela uisemayo 5-6mNdugu, hio ni biashara ya kizembe mno! Kwa mtaji huo wa 45M kupata faida 1M kwa mwezi haikubaliki hata kidogo. Kwa mwezi ilitakiwa ukusanye 5-6M. Pole yote maisha
Biashara kichaa labda kama ni Real estateHabari wakuu Kuna biashara nafanya ambayo mtaji waki ni milioni 45 lakini faida Yake napata laki tano ndani siku 14
Hadi mzingo unakua umeisha.
Je hii nisahihi kuendelea kuifanya kwa faid la ya laki tano kwa mtani huo au napoteza muda?
Ushauri wenu mtupe namchongo wabiashara za faida kubwa zaidi
Hapo kama unetoa natumizi kama mishahara na pango endekea nayo. Vyuma vimekazaKwa maana ya faida ya 1m per month.
Bado ni biashara nzuri
Hii Return ya 13.33% ni kwa mwezi au.. na hiyo unamaanisha kwa Kila uwekezaji isipungue 13.33%..?Return on investment = 13.33%
Inaweza kuwa ni biashara nzuri kama risk iko very minimum na haichukui muda wako otherwise fikilia biashara nyingine kwasababu itakuchukua muda kukua.
Aje ajibu hapa.. kama haina risk ya kupoteza mtaji basi aendelee nayo.Hiyo faida ni nzuri hasa Kama hiyo biashara haina risk ya kupoteza mtaji wako.
Endelea nayo.
Usije ukakimbilia biashara zenye faida kubwa na kupoteza mtaji wako ni rahisi sana
Sio biashara nzuri. Mtaji hauendani na faida unayoipata.Habari wakuu Kuna biashara nafanya ambayo mtaji waki ni milioni 45 lakini faida Yake napata laki tano ndani siku 14
Hadi mzingo unakua umeisha.
Je hii nisahihi kuendelea kuifanya kwa faid la ya laki tano kwa mtani huo au napoteza muda?
Ushauri wenu mtupe namchongo wabiashara za faida kubwa zaidi