DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Mkuu mm Biashara Ambazo huwa nafanya na ninazojua huwa ni za kusupply vitu .
Mfano before muda kidogo nilikuwa nafanya Kazi za masoko hapa dar nilikuwa natembelea masokoni then naangalia uhaba wa bidhaa Fulani then nawaletea nawauzia , kama Karanga , Mchele , mafuta ya alizeti n.k
Japo sifanyi tena nipo sector nyingine ya usafirishaji Ila kuna hela Sana hapo .
Muda mwingine kuleta viazi mviringo kutokana Iringa na kuuza Kwa jumla n.k

Kama biashara zipi hizo