Bado ni income nzuri mno kaka na hapa ni mahali penye high population sio.yas. -1.3m
m-pesa -1m
airtel money-500k
halopesa-200k
milioni 2 unakuwa nayo taslimu mdogo mdogo kitaeleweka tu na kwa baadaye unaweza kuweka maji, juice kuongeza wigo wa wateja.
Hii kazi muda mwingi nakuwa mimi pekee yangu, kutapeliwa ni kweli kupo asa ukiwaamini watu kupitiliza.Unaweza mzee...anza na iyo iyo.
Apa jirani kijana aliyewekwa na Boss wake kapita na 8 milion.
Boss akakaa chini huku analia siku nzima.
Kila la kheri katika biashara
Shukrani na asante kwa hili ulilonipa kiongozi.Ni hivi ukubwa wa mtaji kwenye uwakala inategemea na eneo la biashara yako. Unaweza kuwa na mtaji wa million 10 ila kutokana na eneo ulilofungua biashara ukajikuta hela iliopo kwenye mzunguko ni million 3, kwahyo million 7 ikawa ipo tu imeka.
Najua kinachokumiza kichwa unataka kila mteja akija kwako kutoa au kuweka hela basi apate huduma, achana na hayo mawazo. Huwez kuhudumia wateja wote. Unaweza kuwa na mtaji wa million 10 ila kuna siku atakuja mteja wa kutoa laki 1 na hutakiwa nayo. Unajua kwann? Kuna siku utajikuta hela zimeja kwny simu na ww huna cash.
Million 5 inatosha kabisha kufanya kazi. Binafsi nikiaza hii kazi na mtaji wa laki 7, na niliaza kufanya huduma za kibank mtaji ulisoma kama 3. Sio kila mteja wa bank anatoa hela nyingi, wapo ambao wanatoa mpaka elfu 5. Utawahudumia wateja ambao una uwezo nao, wale wa miamala mikubwa wataenda sehemu nyingine.
Kingine hiyo Kodi ni kubwa sana kwa kuanza uwakala. Maeneo yapo mengi. Sio lazima mjazane mjini wote.
Usiogope huo mtaji inatosha, omba uwakala wa bank ufanye kazi. Mim hiyo kazi niliaza na mtaji wa laki 7 na banda langu la mbao. Mtaji ulipofika milion 3 nikaomba uwakala wa bank.Shukrani na asante kwa hili ulilonipa kiongozi.
Shukrani kwa hili chifu...Usiogope huo mtaji inatosha, omba uwakala wa bank ufanye kazi. Mim hiyo kazi niliaza na mtaji wa laki 7 na banda langu la mbao. Mtaji ulipofika milion 3 nikaomba uwakala wa bank.
Kwa Sheria za bank huwa hawatoi uwakala kwa mtu mwenye Banda la mbao, ila mm walinipa kwasababu eneo ambalo nilifungua biashara kulikuwa hakuna wakala mwenye huduma za kibanki.
Ila unatakiwa ufanye kazi kama miez 5 au 6 kwasababu wakat unaomba uwakala wa banki watakuomba commission statement ya miez 3 kwa mitandao 3.
Wewe upo mkoa gani boss.Ni hivi ukubwa wa mtaji kwenye uwakala inategemea na eneo la biashara yako. Unaweza kuwa na mtaji wa million 10 ila kutokana na eneo ulilofungua biashara ukajikuta hela iliopo kwenye mzunguko ni million 3, kwahyo million 7 ikawa ipo tu imeka.
Najua kinachokumiza kichwa unataka kila mteja akija kwako kutoa au kuweka hela basi apate huduma, achana na hayo mawazo. Huwez kuhudumia wateja wote. Unaweza kuwa na mtaji wa million 10 ila kuna siku atakuja mteja wa kutoa laki 1 na hutakiwa nayo. Unajua kwann? Kuna siku utajikuta hela zimeja kwny simu na ww huna cash.
Million 5 inatosha kabisha kufanya kazi. Binafsi nikiaza hii kazi na mtaji wa laki 7, na niliaza kufanya huduma za kibank mtaji ulisoma kama 3. Sio kila mteja wa bank anatoa hela nyingi, wapo ambao wanatoa mpaka elfu 5. Utawahudumia wateja ambao una uwezo nao, wale wa miamala mikubwa wataenda sehemu nyingine.
Kingine hiyo Kodi ni kubwa sana kwa kuanza uwakala. Maeneo yapo mengi. Sio lazima mjazane mjini wote.
170kSaivi gunia la mpunga linachezea ngapi?
Daaah noma sana.Ukifungua biashara usisahau kuiwekea kinga ya Kiroho sasa wewe utachagua agano hilo utaweka upande gani! Kama ni Mungu weka nae agano...
usifungue kichwa kichwa Dunia hii na watu wake sio rafiki kama tunavyofikiria...
umeuliza bei ya sasa ,kwasasa unauzwa uliowekwa mwakajana....msimu ukifika mwezi wa 6 gunia ni 70 au 60kAlafu ndo mavuno mbona lipo juu ivo