Mtaji wa milioni 5 naweza fungua biashara ya miamala na wakala bank

Daaah noma sana.
mkuu nimeshuhudia watu wakitoa ushuhuda mahali! mtu alikua agent wa sigara kwa siku kulaza benki milion 50, 100m e.t.c nyumba, magari leo hii hana hata mia! yaani kipindi ana hela ndugu akifariki yeye ndo anakua mtu wa mwisho kusema marehem azikwe lini! Leo hii kafirisika hata akiwapigia watu simu wanamkimbia.. Hao ndio binadamu!
Unaweza fungua Kabiashara kako vizur tu lakini watu wako wakaribu wakakushusha chini!
Agano Na Mungu ni agano Jema sana mfano; Unaweza toa faida asilimia fulani ukawa unaenda kuwatembelea Yatima na Wajane kwenye Dhiki zao na kuwaombea dua /Sala.

Hakuna kinga ya kiroho kubwa kama KUTOA ndugu yangu!

Kama ulishawahi ona akina Bakharesa na wengine kama akina Lugumi wanatoa misaada kwa Yatima na Wajane katika dhiki zao na wanafanikiwa kila siku.

Sasa mtu ndugu zangu na mimi kaweka biashara yake hapo na mtaji wake hata kusema kujali wasiojiweza mahospitalini, yatima, wajane kwa kidogo tu Hafanyi lazima ufirisike.
Hizo ni Siri watu hawawezi kuambiwa!
 
Kutoa ni muhimu sana kiongozi.
 
Kutoa ni muhimu sana kiongozi.
Yap! Kuna wale wanaoenda kutafuta utajiri kwa waganga Sharti la kwanza ilibiashara yake isimame ni kutoa!
Ndo maana watu wanachinja ng'ombe kadhaa na kuwapa watu, mbuzi e.tc maana masharti ya upande huo ni Damu imwagike

Lakini upande wa Mungu, Yesu alishamwaga damu pale msalabani( Hakuna kafara ya damu tena) kilichobaki ni kuonesha upendo kwa kuwajali Yatima, wajane na wenye mahitaji mbali mbali kwa Kutoa.
 
Mawazo yako pia ni muhimu.
Mkuu mimi pia bado nachukua uzoefu toka kwa wahenga kifupi bado sijaingia Front Exactly bado nipo kwenye chains za kuajiriwa kwa watu binafsi zenye mishahara kiduchu tu.... Na hapa niko mbioni kukataa huu ukuda na kuingia Street mzima mzima kutafuta namna yeyote ya kujiajiri na nahisi soon tu kinaenda kutokea hichi kitu!
 
Okay pia pale kwenye mada nimetoa na mawazo mengine.
 
siku hizi sio lazima uwe machine za bank
Mfano CRDB kuna namna wanaku enroll kwa App yao Ya kutoa huduma za Uwakala kwa simu janja yako so I hope the rest bank can
Due to market competition
Ila pia nenda kwa branch za bank individual for deep details
Kwa lain za uwakala nenda HQs / for shortcuts kwa mawakala Wamiliki watakupa Ronja which could be cheaper and safe way to get those lines/cheep’s
Mtaji hata m 3 nyingi sana
Usiwe pesa yote sehem moja
Kabla hujamjua nani unamuhudumia
Know the Demand first
Pole pole ndo mwendo
 
Watu kama nyie mnashusha hadhi ya JamiiForums. Mtu yuko serious anatafuta mawazo muhimu wewe unaleta mawazo ya kipuuzi kama haya yatamsaidia nini?

Kama huna cha kukomenti siyo lazima uandike.
Alichouliza mleta mada ni jambo bora ambalo watu wengine watanufaika pia na komenti chanya.

Siyo vizuri kuandika ujinga kama huu. Jifunze kukomaa kifikra.
Wajinga kama hao wanaongezeka sana siku hizi.
Watu wapo serious na maisha ye analeta ujinga wake. Ukichunguza sana ni vile vitoto vinavyolelewa na vinavyoishi kwa shemeji.
 
Bado ni income nzuri mno kaka na hapa ni mahali penye high population sio.
Nahisi hukumuelewa jamaa, yeye alikuwa anatoa maelekezo kuhusu ni namna Gani uigawe hiyo 5M yako na sio kwamba hiyo ni faida yake au itakayokuwa yako

Kadadavua kulingana na Eneo alilopo yeye, kuwa kama angekuwa na hiyo 5M angeigawa kwa mtindo huo, though kwa upande wako inaweza ikawa tofauti kulingana na Eneo lako
 
Wajinga kama hao wanaongezeka sana siku hizi.
Watu wapo serious na maisha ye analeta ujinga wake. Ukichunguza sana ni vile vitoto vinavyolelewa na vinavyoishi kwa shemeji.
Kabisa yaani
 
Back
Top Bottom