Itaje au unabet na kuwauza dada zako?Biashara Ndogo ya Uhalali na Akili.
Kua makini kua makini na malinda yako mkuuNaomb connection nami
Hakukuwa na maana ya kuanzisha huu uzi kama hiyo biashara ni ya kificho.Kamanda Biashara hii siyo ya Bangi, ni Biashara Ndogo ya Uhalali na Akili. Usipotoshe wadau wanaotaka kuchangia maoni ya kueleweka
Network marketing hao.Sema ni biashara gani
Kupenda kitonga ni hatari sana kwa malindaKua makini kua makini na malinda yako mkuu
Anauza kinyeokama hiyo biashara ni ya kificho
Sio poa mkuu tena hatari sanaKupenda kitonga ni hatari sana kwa malinda
Contents nyingine ukizisoma tu utagundua mwandishi anatafuta mawazo ya biashara kutoka kwa wadau.Wadau, Nipeni USHAURI HAPA, Nina BIASHARA ambayo MTAJI WAKE ni 300,000 na Hii biashara inaingiza MAPATO ya 50,000 kila siku GUARANTEED
Swali ni kuwa je Niendelee na Biashara hii au NIANGALIE utaratibu wa biashara nyingine yenye MTAJI Mkubwa na FAIDA kubwa.
***** Swali linaulizwa Kwaniaba ya Muhusika.
Mheshimiwa ahsante kwa Ushauri na kwa kejeli pia, lakini kama nilivosema hapo kwa mdau mwingine kuwa hili swali ni la KWELI na siyo FAKE. Sioni eti ni kwanini kama muuluza swali angekuwa anataka ushauri wa mtaji wa laki tatu, si tungeposti hivo straight to the point ?Contents nyingine ukizisoma tu utagundua mwandishi anatafuta mawazo ya biashara kutoka kwa wadau.
Haiingii akili uwe na mtaji wa laki 3 halafu kwa siku unaingiza 50k guaranteed na bado uje kuomba ushauri kama huu.
Kwasababu obvious kama kila siku unapata 50k kama faida, maana yake ndani ya siku 6 (kabla ya wiki kuisha) utakuwa umekuza mtaji x2. Hii inamaanisha kwamba unaweza kuendelea kuongeza mtaji kwenye hiyo biashara au ukatumia faida kufanya biashara nyingine.
Nataka kusema kwamba, hakuna mtu atapata biashara nzuri kama hiyo halafu ashindwe kubuni vyanzo vingine vya mapato na aje kuom a ushauri jf.
Chai