whiteskin
Member
- Jun 8, 2025
- 44
- 41
Ndio maan nimeomba connection na maelekezo,Hio bishara ya mtaji huo unaijua?
Ndio maan nimeomba connection na maelekezo,Hio bishara ya mtaji huo unaijua?
Magendo hulipi kodi ukidakwa msala unao, unauza vinywaji visivyo na sitika wala nembo ya tra ukidakwa utajua mwenyeweNdio maan nimeomba connection na maelekezo,
Hiyo si ndio kesi ya Uhujumu uchumiMagendo hulipi kodi ukidakwa msala unao, unauza vinywaji visivyo na sitika wala nembo ya tra ukidakwa utajua mwenyewe
🤣🤣🤣 kama inatoa hamna shidaHaha haha hiyo ni odds 1.16 😄😄😄 ila shauri yako.