Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Mapato sio shida hata kama unaingiza Laki tano kwa siku je faida imo?Wadau, Nipeni USHAURI HAPA, Nina BIASHARA ambayo MTAJI WAKE ni 300,000 na Hii biashara inaingiza MAPATO ya 50,000 kila siku GUARANTEED
Swali ni kuwa je Niendelee na Biashara hii au NIANGALIE utaratibu wa biashara nyingine yenye MTAJI Mkubwa na FAIDA kubwa.
***** Swali linaulizwa Kwaniaba ya Muhusika.