Mtaji wa Tsh 300,000 na faida ya uhakika Tsh. 50,000

Mapato sio shida hata kama unaingiza Laki tano kwa siku je faida imo?
 
Haha
 
Faida ndo hiyo 50,000 clean. Yaani hii inaenda Benki Straight.
Mimi Naona haupo sawa kisaikolojia.. Maana hueleweki unataka nini??. ( yani ni sawa Sawa mpo ndani ya gereza Alafu unauliza nani anapita huko nje) 😊😊😊
 
Yaani wewe hujasoma hilo na kuielewa posti yangu hapo juu ? au nikuandikie kwa lugha ya kwenu. ni straight forward kwamba ushauri unahitajika. Kama una la kuchangia karibu lakini kama huna wachie wanaoweza kutoa ushauri wao
 
. Hakuna atakaye toa ushauri kwa ulicho kiandika..
. Labda naye awe na tatizo la kisaikolojia..
. Usisahau kun-tag ukipewa huo ushauri.. 🙂 🙂
 
Yaani wewe hujasoma hilo na kuielewa posti yangu hapo juu ? au nikuandikie kwa lugha ya kwenu. ni straight forward kwamba ushauri unahitajika. Kama una la kuchangia karibu lakini kama huna wachie wanaoweza kutoa ushauri wao
I Itaje io biashara watu wakupe ushauri
 
Hii ni chai ya saa 8 mchana hakuna biadhara halali ya mtaji huo ukaingiza 50k profit kwa siku labda kama ni haramu
 
UTAPELI WAKO WA KIZAMANI SANA.
 
Hii ni chai ya saa 8 mchana hakuna biadhara halali ya mtaji huo ukaingiza 50k profit kwa siku labda kama ni haramu
Ipo ila hapo ukifumwa na Serikali huo ugomvi wake sio wa Nchi hii yaan mtaburuzana mahakamani
 
Kwamba kwa mtaji wa laki 3 na faida ya elfu 50 kwa siku ni ndogo siyo? Basi sawa...
 
Mtu anawezaje kukupa ushuri katika biashara ambayo haujaitaja?

Kama ungeisema ni biashara gani huenda ungepewa na maelezo ya ziada kwa maana ya changamoto na njia ya kukabiliana nyo ili mtaji wako uzidi na uzidi kukua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…