Mtaji wa Tsh 300,000 naweza kufanya mradi gani?

Mtaji wa Tsh 300,000 naweza kufanya mradi gani?

Uza matunda matikiti ya kukata,ndizi mbivu,maembe hapo,mapapai. Hapo hapo tengeneza na juice ya kuweka na karanga ndani yake. Uwe maeneo ya changanyikeni au karibu na chuo chochote. Hiyo biashara itakusogeza chap.
Tatizo ni eneo nililopo .huku utapata walevi ni wengi kuliko wanaopenda mambo tajwa👆👆👆
 
Kilimanjaro tafuta Banda weka sabufa weka bench Kama sio mlokole uza pombe za jero na buku na buku mbili usisahau kuweka sigara location iwe sehemu yenye vijana au stand tafuta Banda sio fremu
Thanks mkuu
 
Ingia uswahilini tafuta Kilabu ya uswahilini uuze mapande ya kitimoto na ugali.
Siyo Club, kilabu zile za uswahilini
 
Back
Top Bottom