Mtaji wa Tsh 300,000 naweza kufanya mradi gani?

Mtaji wa Tsh 300,000 naweza kufanya mradi gani?

Biashara Ya Matunda Naona Ipo Vizuri Kwa Ninavyoiona Hususani Hapa Mtaani Kwangu. Cha Msingi Usafi na Ubunifu tu.. Changamoto ya Biashara Ili Ifanye Vizuri ni Hadi Uipende Kwanza Wewe Ndo Maana Wazo Zuri La Biashara Ni Lile Linalotoka Kichwani Kwako Kulingana na Mazingira Yako.
 
Ingia uswahilini tafuta Kilabu ya uswahilini uuze mapande ya kitimoto na ugali.
Siyo Club, kilabu zile za uswahilini
Hapa NAKAZIA.

Awahi kwenye machinjio ya nguruwe achukue mapande achanganye na yale mautumbo,figo mapupu, n.k
Mzigo wa elfu 50 tu unampa faida kubwa tu kwa siku...

Kuna sehemu nilikuta wanauza nikaidharau hiyo biashara kumbe wanapiga faida nzuri akimaliza mzigo.
 
Back
Top Bottom