Mtaji wa Tsh milioni 25 nifungue Hardware ndogo au duka la jumla la bidhaa za matumizi ya kila siku?

Aina ya duka au bidhaa inategemea sana na wanunuaji wa Hilo eneo. Wanamahutaji Gani? Na kama unataka kuwafanya waanze kuona umuhimu wa kununua bidhaa zako, una uwezo wa kusubiria huo muda wa hao watu wabadilike Hadi kuwa na uhitaji wa bidhaa zako?

Kimsingi, aina ya biashara itaongizwa na wateja wa Hilo eneo unataka kufungua biashara.
 
Pamoja mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…