Mtaji wa Tsh milioni 25 nifungue Hardware ndogo au duka la jumla la bidhaa za matumizi ya kila siku?

  • Sajili jina zuri la biashara,linalosadifu biashara yako
  • Nunua mashine za kisasa (kushona na kudarizi) 5 @ 1,000,000= 5,000,000/=
  • Tafuta vijana wa veta/ mtaani wenye ujuzi - 5 @ 150,000 monthly
  • Nunua vitenge vizuri kwa bei ya jumla = 2,000,000
  • Fyatua magauni wanayopenda wakina mama- non stop
  • Peleka mzigo kwa mkopo kwa wenye maduka huku ukiwapa bei elekezi; kopesha walimu n.k -ukiwa na mtu wa masoko ni vizuri zaidi
  • Anzisha website- ya biashara yako
  • Tengeneza akaunti mbalimbali za mitandao ya kijamii-kuhusu bidhaa zako
  • Ukiweza kujisajili alibaba n.k kama supplier ni vizuri pia

NB: Ukiwa na jengo lako mwenyewe itakuwa nzuri zaidi.
 
Waooooh..daaah..watu mmezaliwa na utu, ahsante mkuu bonge la idea, hapo unaongezea na kutengeneza ma overall, mapazia, over jacket, etc...
 
Nilimaanisha afungue duka la aina hio yani! Auze fast moving service parts kama joints, bushings,plugs, filters na vinginevyo! Kwa research niliofanya vingi vina faida ya 100% na more than that kama atauza mkoani!
anhaaaa…. Okay
bonge la idea
kama ni kweli

Kuhusu hiyo ya mikoani Kwa hiyo duka la vipuri Singida mjini lina faida kuliko likiwa Mtoni Kijichi, D’Salaam ?
 
What are u trying to say boss, kwamba ni vizuri uifanyie dar coz mzunguko utakuwa mzuri?
 
Ukianza Biashara utakayochagua, usiache kufunga mfumo wa kusimamia mauzo na stock
 
What are u trying to say boss, kwamba ni vizuri uifanyie dar coz mzunguko utakuwa mzuri?
Sina hakika, sijawahi fanya biashara mikoani, so I am not trying to say anything….

Lakini ninachoona mimi kwa mfano mkoa ninaotoka kuna magari kama mia tu yanazunguka hapo mjini…. Sijui kama vipuri vya kutosha vinatoka madukani…
 
So bora hardware? Right?
 
So bora hardware? Right?
Sijui bana… hizi biashara you never know man…

Hivi ninavyoongea nimetoka pale City Mall pembeni ya Dar Techi… kuna mwarabu mule ndani ana kiduka cha charger na ma cover ya simu…. E bane eeeeeh…. Kiduka kidogo kama celo ya polisi lakini muuza ma piston ya Scania Kariakoo hamfikii wala muuz Nondo na Mbao Mbezi Beach… Kuna wauzaji watatu mule golini halafu kila mtu ana kama wateja watatu wamepangana wanamsubiria…
 
Hivi ninavyoongea nimetoka pale City Mall pembeni ya Dar Techi… kuna mwarabu mule ndani ana kiduka cha charger na ma cover ya simu…. E bane eeeeeh…. Kiduka kidogo kama celo ya polisi lakini muuza ma piston ya Scania Kariakoo hamfikii wala miuza Nondo na Mbao Mbezi Beach… Kuna wauzaji watatu mule golini halafu kila mtu ana kama wateja watatu wamepangana wanamsubiria…
Sure man ..somethings in life just happen..unaweza kuplan sanaa lakin utakachokipata haumfikii yule aliepanga kidogo..
 
Sijui bana… hizi biashara you never know man…

Hivi ninavyoongea nimetoka pale City Mall pembeni ya Dar Techi… kuna mwarabu mule ndani ana kiduka cha charger na ma cover ya simu…. E bane eeeeeh…. Kiduka kidogo kama celo ya polisi lakini muuza ma piston ya Scania Kariakoo hamfikii wala muuz Nondo na Mbao Mbezi Beach… Kuna wauzaji watatu mule golini halafu kila mtu ana kama wateja watatu wamepangana wanamsubiria…
So pellman, give me a hint, hook a brother up pleaseee, what should i do with this 25million..
 
Back
Top Bottom