Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,849
- 3,506
- Thread starter
- #21
Blessings mkuuAkiwa na eneo anaweza kuongeza na mambo ya tyres na uoshaji wa magari na pikipiki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Blessings mkuuAkiwa na eneo anaweza kuongeza na mambo ya tyres na uoshaji wa magari na pikipiki
BlessingsItamtoa sana
@Extrovert mkuu nipe mwanga kidogo, iwe katika hali, eneo gani..etc karibuFanya ya service za magari Kama bushings and joints pamoja na plugs na filters
Thank u for your elaboration mkuu... blessingsHardware inahitaji experience na kutengeneza jina ili uweze kuuza na kuaminika kwa wateja wako,mwaka wa kwanza wote unaweza jikuta unahisi umepoteza maana wateja watakua wakija kuulizia bei tu na kulinganisha na kule wanakochukulia.
itakuchukua muda kidogo mpaka kuja kuanza kuona faida ya Hardware,japo faida zikianza kuonekana ni zile faida heavy Mc Faida za kueleweka kuondoka home na faida za 1M kwa siku n jambo la kugusa tu kama unamsukuma mlevi.
Lakini kwa mtaji huo bado sioni kama Hardware itakutoa kwa haraka otherwise uwe umeidhamiria kikweli kweli basi ufungue ila kama n utategemea mtaji huo uzae ujikuze wenyewe,Hardware itakuchukua miaka kadhaaa.
Tukija kwenye duka la Jumla
Hili nalo linategemea na location mkuu 25M ni pesa ndogo sana kuanziasha duka la jumla kwa pesa hiyo ungejitosa kwenye ida yako hiyo hiyo ya duka (bidhaa za matumizi ya kila siku) kama mangi hiviiii, Duka ukalishonesha mzigo wa haja,
Kwa mtaji huo nina uhakika mtu akiingia dukani kwako atakosa misumari tu au nondo ila mahitaji mengine ya nyumbani nyumbani Kila mtu akiwaza kitu cha nyumbani kwake wazo la kwanza ni dukani kwako.
Nakuona mbali kwa mtaji huo kama ukiamua anzisha duka la namna hiyo,Una mtaji wa kutosha sana kufanya maajabu.
Biashara yoyote ambayo watu wanaifanya na hawaiachi maana yake ina soko. Ila haimaanishi ukiianzisha utafanikiwa. Kuna biashara zainalipa baada ya muda mrefu kuna zingine ni almost instant.
Blessings mkuu, more life.Biashara yoyote ambayo watu wanaifanya na hawaiachi maana yake ina soko. Ila haimaanishi ukiianzisha utafanikiwa. Kuna biashara zainalipa baada ya muda mrefu kuna zingine ni almost instant.
Ushauri wangu ni chagua mawazo utakayoyapenda kati ya haya then kafanye research ya product market fit kwa pale unataka kufanya biashara husika. Jiridhishe changamoto zake na faida zake. Ukiweza kupata mtu ambaye yuko eneo jingine kabisa lakini anafanya biashara hiyo "mtoe" kidogo lunch au dinner halafu muongee biashara.
Usifanya biashara kwa macho, utakuja juta. Biashara huwa ni zaid ya unachokiona!
consider experience na locationFriends,
Natumaini hizi zote ni idea nzuri ila ni ipi kati ya hizi iko very promising, yenye mzunguko mzuri wa pesa kwa sasa na kunikuza pakubwa baadae.
Karibuni
Gracias amigo .consider experience na location
1. Location ndio itaamua nn uuze
Ahsante aldeo, umetufungua..duka là chakula unamanisha nafaka au..mimi ñdio sijaelewa1. Location ndio itaamua nn uuze
2. Wewe ndo utaona ni wapi n mwepes kufanya(connection) ya kupata Mali.
3. DUKA la chakula kuuza utauza kuanzia 11:30/12:00asbh mpaka saa 1:00/3:00usiku huku hardware utauza anzia 12:30/1:30asbh mpaka 12:00/1:00 jion
4. Mzunguko wa duka la chakula faida yake n 500/=, 1,000/= 2,000-5,000/= n vichache mno sema duka linakuwa busy muda wote wakati hardware kitu kimoja faida n kuanzia 1,000-5,000/= na Kuna vingine 25,000 inazaa 10,000 au 80,000 inazaa 30,000 hapa inategemea hii biashara inakupa muda wa kutathmini Biashara yako na wapi utapata supply mzuri alafu inakua kwa kuonekana mradi ujue abcd zake.
5. Biashara ya duka la chakula utaanza na cash sababu hamjuan Ila mkizoeana mikopo inaanza hardware haina mteja watu hujenga Mara moja kwa 30yrs hvyo haina uteja njoo lipa uende
6. DUKA la chakula Mali nyingi zinatengenezwa Tanzania hvyo kufanya suppliers kuwa wengi mtaani wakati hardware vitu vingi hutoka nje hvyo ukufanya kupata Mali kuwa mgumu na kwa watu wachache Ila ukicheza na hili gepu ndo unawakamatia hapo
Duka la chakula jumla utauza muda wote Ila unaeza uza 7m faida ukakuta n 300k wakati hardware unaeza uza 2m faida ukakuta 250k
MUNGU huwa hamtupi mja wake ukiingia barabarani hakosi cha kukupa kitakacho kufaa kwa siku hyo.
Changamoto ķama zipi dada?Yeyote unayoona una experience nayo zaidi
Ila kwa mtizamo wangu ya vitu vya jumla inataka umakini zaidi na changamoto zake ni nyingi
Labda sijatembea sana, lakini sijaona gereji duniani mtu analeta gari bovu halafu wanamwambia sisi tuna fixi bushings joints plugs and filters!Fanya ya service za magari Kama bushings and joints pamoja na plugs na filters
Nilimaanisha afungue duka la aina hio yani! Auze fast moving service parts kama joints, bushings,plugs, filters na vinginevyo! Kwa research niliofanya vingi vina faida ya 100% na more than that kama atauza mkoani!Labda sijatembea sana, lakini sijaona gereji duniani mtu analeta gari bovu halafu wanamwambia sisi tuna fixi bushings joints plugs and filters!
So boss unachomaanisha ni duka la service parts, spanners na vilainishi right?Nilimaanisha afungue duka la aina hio yani! Auze fast moving service parts kama joints, bushings,plugs, filters na vinginevyo! Kwa research niliofanya vingi vina faida ya 100% na more than that kama atauza mkoani!
Expiring dates ni fasta baadhi ya bidhaaChangamoto ķama zipi dada?