General relativity
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 462
- 693
Njoo hapa kudimbwi tukupe ushauri mzuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji38][emoji38][emoji38] aje na bei gan kutoka kwenye ile 25m mwambie mapema kabisaNjoo hapa kudimbwi tukupe ushauri mzuri
Kusema kweli itategemea sehemu unayofungulia. Kwa sehemu kama dar au dodoma.Friends,
Natumaini hizi zote ni idea nzuri ila ni ipi kati ya hizi iko very promising, yenye mzunguko mzuri wa pesa kwa sasa na kunikuza pakubwa baadae.
Karibuni
Mkuu, kwa idea ya duka la jumla la mahitaji ya binadamu ya kila siku, kwa mtaji wa milioni 5 kamili kwa ajili ya mzigo tu, costs za chumba, TRA, Mazingira, Halmashauri zina hela yake pembeni inatosha?Hardware inahitaji experience na kutengeneza jina ili uweze kuuza na kuaminika kwa wateja wako,mwaka wa kwanza wote unaweza jikuta unahisi umepoteza maana wateja watakua wakija kuulizia bei tu na kulinganisha na kule wanakochukulia.
itakuchukua muda kidogo mpaka kuja kuanza kuona faida ya Hardware,japo faida zikianza kuonekana ni zile faida heavy Mc Faida za kueleweka kuondoka home na faida za 1M kwa siku n jambo la kugusa tu kama unamsukuma mlevi.
Lakini kwa mtaji huo bado sioni kama Hardware itakutoa kwa haraka otherwise uwe umeidhamiria kikweli kweli basi ufungue ila kama n utategemea mtaji huo uzae ujikuze wenyewe,Hardware itakuchukua miaka kadhaaa.
Tukija kwenye duka la Jumla
Hili nalo linategemea na location mkuu 25M ni pesa ndogo sana kuanziasha duka la jumla kwa pesa hiyo ungejitosa kwenye ida yako hiyo hiyo ya duka (bidhaa za matumizi ya kila siku) kama mangi hiviiii, Duka ukalishonesha mzigo wa haja,
Kwa mtaji huo nina uhakika mtu akiingia dukani kwako atakosa misumari tu au nondo ila mahitaji mengine ya nyumbani nyumbani Kila mtu akiwaza kitu cha nyumbani kwake wazo la kwanza ni dukani kwako.
Nakuona mbali kwa mtaji huo kama ukiamua anzisha duka la namna hiyo,Una mtaji wa kutosha sana kufanya maajabu.
Nadhani mkuu kaongelea nafaka n.k ila kwa nilivomuelewa mtoa mada kama nitakuwa sahihi ni duka la jumla la vitu kama blueband, miswaki, chumvi, viberiti n.k vile vya matumizi sio ku specialize kwenye chakulaAhsante aldeo, umetufungua..duka là chakula unamanisha nafaka au..mimi ñdio sijaelewa
Hii biashara ya vifaa vya simu inafaida kubwa sana! Tena kama huyo mwenye duka kama anaagiza mzigo nje ndo kabisaa faida yake ndo kubwa hatari!Sijui bana… hizi biashara you never know man…
Hivi ninavyoongea nimetoka pale City Mall pembeni ya Dar Techi… kuna mwarabu mule ndani ana kiduka cha charger na ma cover ya simu…. E bane eeeeeh…. Kiduka kidogo kama celo ya polisi lakini muuza ma piston ya Scania Kariakoo hamfikii wala muuz Nondo na Mbao Mbezi Beach… Kuna wauzaji watatu mule golini halafu kila mtu ana kama wateja watatu wamepangana wanamsubiria…
Uleee mnyampaaaanhaaaa…. Okay
bonge la idea
kama ni kweli
Kuhusu hiyo ya mikoani Kwa hiyo duka la vipuri Singida mjini lina faida kuliko likiwa Mtoni Kijichi, D’Salaam ?