Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Anzisha 'workshop'
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya sector gani haswaAnzisha 'workshop'
Ushonaji, itakupeleka mbele kwenye hatua ya kumiliki kiwandaYa sector gani haswa
Ushonaji wa nguo, mashuka na kudarizi ..overall..kuweka majina kw nyuzi...au nimekoseaUshonaji, itakupeleka mbele kwenye hatua ya kumiliki kiwanda
Waooooh..daaah..watu mmezaliwa na utu, ahsante mkuu bonge la idea, hapo unaongezea na kutengeneza ma overall, mapazia, over jacket, etc...
- Sajili jina zuri la biashara,linalosadifu biashara yako
- Nunua mashine za kisasa (kushona na kudarizi) 5 @ 1,000,000= 5,000,000/=
- Tafuta vijana wa veta/ mtaani wenye ujuzi - 5 @ 150,000 monthly
- Nunua vitenge vizuri kwa bei ya jumla = 2,000,000
- Fyatua magauni wanayopenda wakina mama- non stop
- Peleka mzigo kwa mkopo kwa wenye maduka huku ukiwapa bei elekezi; kopesha walimu n.k -ukiwa na mtu wa masoko ni vizuri zaidi
- Anzisha website- ya biashara yako
- Tengeneza akaunti mbalimbali za mitandao ya kijamii-kuhusu bidhaa zako
- Ukiweza kujisajili alibaba n.k kama supplier ni vizuri pia
NB: Ukiwa na jengo lako mwenyewe itakuwa nzuri zaidi.
anhaaaa…. OkayNilimaanisha afungue duka la aina hio yani! Auze fast moving service parts kama joints, bushings,plugs, filters na vinginevyo! Kwa research niliofanya vingi vina faida ya 100% na more than that kama atauza mkoani!
What are u trying to say boss, kwamba ni vizuri uifanyie dar coz mzunguko utakuwa mzuri?anhaaaa…. Okay
bonge la idea
kama ni kweli
Kuhusu hiyo ya mikoani Kwa hiyo duka la vipuri Singida mjini lina faida kuliko likiwa Mtoni Kijichi, D’Salaam ?
Sina hakika, sijawahi fanya biashara mikoani, so I am not trying to say anything….What are u trying to say boss, kwamba ni vizuri uifanyie dar coz mzunguko utakuwa mzuri?
So bora hardware? Right?Sina hakika, sijawahi fanya biashara mikoani, so I am not trying to say anything….
Lakini ninachoona mimi kwa mfano mkoa ninaotoka kuna magari kama mia tu yanazunguka hapo mjini…. Sijui kama vipuri vya kutosha vinatoka madukani…
Hiyo pesa utanunua mfuko wa kg 50 mingapi? Bado mafuta ya kula, bado ngano duka la jumla usilichukulie poa mkuu duka la jumla labda duka la mangi?Duka la jumla la bidhaa za kila siku...
Sijui bana… hizi biashara you never know man…So bora hardware? Right?
Sure man ..somethings in life just happen..unaweza kuplan sanaa lakin utakachokipata haumfikii yule aliepanga kidogo..Sijui bana… hizi biashara you never know man…
Hivi ninavyoongea nimetoka pale City Mall pembeni ya Dar Techi… kuna mwarabu mule ndani ana kiduka cha charger na ma cover ya simu…. E bane eeeeeh…. Kiduka kidogo kama celo ya polisi lakini muuza ma piston ya Scania Kariakoo hamfikii wala miuza Nondo na Mbao Mbezi Beach… Kuna wauzaji watatu mule golini halafu kila mtu ana kama wateja watatu wamepangana wanamsubiria…
Hakuna pesa ya duka la jumla hapo msimdanganye mwenzenu labda duka la mangiItamtoa sana
So pellman, give me a hint, hook a brother up pleaseee, what should i do with this 25million..Sijui bana… hizi biashara you never know man…
Hivi ninavyoongea nimetoka pale City Mall pembeni ya Dar Techi… kuna mwarabu mule ndani ana kiduka cha charger na ma cover ya simu…. E bane eeeeeh…. Kiduka kidogo kama celo ya polisi lakini muuza ma piston ya Scania Kariakoo hamfikii wala muuz Nondo na Mbao Mbezi Beach… Kuna wauzaji watatu mule golini halafu kila mtu ana kama wateja watatu wamepangana wanamsubiria…
Inawezekana bila shida yoyote...Hiyo pesa utanunua mfuko wa kg 50 mingapi? Bado mafuta ya kula, bado ngano duka la jumla usilichukulie poa mkuu duka la jumla labda duka la mangi?
Acha blah blah bei ya mfuko wa sukari kilo 50 unajua bei yakeInawezekana bila shida yoyote...
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
Ni bei gani mu habeshAcha blah blah bei ya mfuko wa sukari kilo 50 unajua bei yake