Mtaji wa Tsh milioni 25 nifungue Hardware ndogo au duka la jumla la bidhaa za matumizi ya kila siku?

Friends,

Natumaini hizi zote ni idea nzuri ila ni ipi kati ya hizi iko very promising, yenye mzunguko mzuri wa pesa kwa sasa na kunikuza pakubwa baadae.

Karibuni
Kusema kweli itategemea sehemu unayofungulia. Kwa sehemu kama dar au dodoma.
 
Mkuu, kwa idea ya duka la jumla la mahitaji ya binadamu ya kila siku, kwa mtaji wa milioni 5 kamili kwa ajili ya mzigo tu, costs za chumba, TRA, Mazingira, Halmashauri zina hela yake pembeni inatosha?

Kama haitoshi, unanishauri nini cha kufanya kwa milioni 5 mtaji? Tukizingatia sijawahi kufanya biashara kabisa na kingine dukani nitaweka mtu / watu maana ni mwajiriwa pia mkoa mwingine tofauti na napotaka kuweka hii biashara kwani ni nyumbani nmeishi miaka yote kuna eneo naona posibillity ya hela kabisa muda mrefu tu

Asante
 
Ahsante aldeo, umetufungua..duka là chakula unamanisha nafaka au..mimi ñdio sijaelewa
Nadhani mkuu kaongelea nafaka n.k ila kwa nilivomuelewa mtoa mada kama nitakuwa sahihi ni duka la jumla la vitu kama blueband, miswaki, chumvi, viberiti n.k vile vya matumizi sio ku specialize kwenye chakula
 
Hii biashara ya vifaa vya simu inafaida kubwa sana! Tena kama huyo mwenye duka kama anaagiza mzigo nje ndo kabisaa faida yake ndo kubwa hatari!
 
anhaaaa…. Okay
bonge la idea
kama ni kweli

Kuhusu hiyo ya mikoani Kwa hiyo duka la vipuri Singida mjini lina faida kuliko likiwa Mtoni Kijichi, D’Salaam ?
Uleee mnyampaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…