Mtaji wa Tshs. milioni 3 uzalishe Tshs. 40,000/= kwa siku; njoo tufanye biashara

Mkuu samahani, naomba unisaidie wapi naweza kununua pressure machine na ile ya kuanzia upepo wa magari na pikipiki.
 
Yaani mimi nikodi eneo...nilipimie maji..na luku...mwisho wasiku tugawane pasu kwa pasu? Si wehu huo...khaa..au hujaelewa
acha roho mbaya utakufa maskini...we cha kufanya ni kufungua zaidi ya moja ata upate chini yake utakuwa upo kivulini hata ukiumwa mzigo unaingia...tofauti ya maskini na tajiri ni mawazo tu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
acha roho mbaya utakufa maskini...we cha kufanya ni kufungua zaidi ya moja ata upate chini yake utakuwa upo kivulini hata ukiumwa mzigo unaingia...tofauti ya maskini na tajiri ni mawazo tu...

Sent using Jamii Forums mobile app


Hiyo unit nyingine unafungulia kwa hela gan kama hii moja tu mnagawana pesa mkuu?yaan mapato tupate 60000 wewe uondoke na 28000 mie 32000??
Maji kwa mwezi 200000/
Umeme siku 5 5000/
Kodi 80000/@monthly
Kwahyo hapa nan anaumia??๐Ÿ˜
 
Hakumaanisha mauzo ya siku alitaka kujua faida kwa siku iwe 40,000 kwa biashara ipi kwa mtaji huo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umetoa bonge la idea
Labda pesa yake isijitoshereze tu ila akiweza kufuata huu ushauri atatoboa mkuu
 
[emoji122][emoji122]
 
Hongera sana mkuu!!
Naomba nije PM kwa ridhaa yako
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kichwa cha habari kisemavyo. Nina mtaji wa 3m/=. Walio serious na biashara, waaminifu, wapambanaji waje na IDEA tuzalishe 40,000/= kila siku. Iwe biashara halali tulipe kodi n.k.


Boss tafadhali tukutane chemba kidogo

Regards.
 
Hiyo unit nyingine unafungulia kwa hela gan kama hii moja tu mnagawana pesa mkuu?yaan mapato tupate 60000 wewe uondoke na 28000 mie 32000??
Maji kwa mwezi 200000/
Umeme siku 5 5000/
Kodi 80000/@monthly
Kwahyo hapa nan anaumia??๐Ÿ˜
Basi sema tu kwa upande wako hailipi lakini hiyo ya kumwoonea kijicho mfanyakazi kisa mnagawana pasu kwa pasu sio vizuri.

Au nyie ndio wale mkiona mfanyakazi anamaisha mazuri kukuzidi wewe bosi unambambikia kesi ya wizi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ hii ilimtokea brother wangu fulani, aliambiwa kaiba million 300
 
Kuna biashara ya Sukari 25Kg kwa Dar inauzwa si chini ya 56.000/= ila kuna chimbo ni kiwanda kipya kimeanzishwa kinauza 36,000/=,laiti ningekuwa nataka kufanya biashara ningepiga huo mchongo.

Ila 3M mimi naonaga hela ya chai ,labda ufungue Mgahawa utakulipa tafuta eneo lenye watu wengi kama Ubungo,K/koo kwa Dar.
 
Cheap labour anaondokaje na pesa yote hiyo cheep labour mshahara wake ni elfu tano kwa siku na chakula cha buku na chai ya buku kama mnaenda mpaka jioni pia utampa buku ya chakula, yan kimsingi cheap labour hatakiwi kuondoka na zaidi ya 10,000/= kwa siku ili asije akafanya maendeleo akakukimbia , mlipe kijana pesa ambayo itamlazimu kila siku aje kazini na huku uki train vijana wengine chipukizi .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo umenikomeshea janjaaroo hawa ndo maafisa wa tra anakuja kukupigia hesabu ambazo hazipo.
 
Asilimia kubwa tz mfumo ndo upo hivyo kwa carwash na faida inapatikana tu mbona nzuri, kibarua kukuzidi mwenye kijiwe haiwezekani labda uwe una mwoshaji mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ